Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 330
- 1,060
Hello.
Ni nani aliye na Hizi tabia .
1. Nachelewa sana kulala hadi nagombana na mke wangu.
2. Mvivu kupokea simu ,ninaweza kuiona itaita ila nitakupigia au kukutumia sms tu.
3. Ninafanya jambo ninapojisikia Tu,mfano mtu anaweza kunitumia sms kesho nitaiibu muda wowote ninaoutaka mimi hata nikiblue tick.
4. Nakaribia miaka 30 ila sina rafiki yeyote niliyeanza nae tuseme sekondari au chuo wote nimejikuta nawapotezee mara baada ya kuona wao wamenipita mafanikio sijisikii kuendelea kumake bond nao.
5. Niko karibu na watu mbalimbali ila wao uanza kufanikiwa mapema kabla ya mie iwe biashara ,kazi mpaka nahisi nimerogwa.
6. Ni mtu nisiyejali kumtafuta mtu kwa simu labda hadi tatizo hasa msiba ila sina mazoea ya kuwasialiana na watu kwa simu au njia yeyote.
7. Siko Romantic hata mke wangu anaumia Juu ya hilo.
8. Kitu kidogo nawaza mpaka naumwa kichwa nikikosa jibu kama niko free ninaweza kulala kutwa nzima au simu tu.
9. Ni mtu wasiwasi na Muda wote nimekuwa nikiwaza kufakufa tu.
10. Sina interest na mapenzi japo nina mke.