Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

Now it is really sinking low.......

Kama kawaida yenu mnataka kuanza kujaza thread na malumbano binafsi!

Keep keeping on!
 
Ijumaa ndiyo imeanza... Kada we nishtue tu mzee alimradi uko kwenye maeneo ya Joto maana hapa nilipo mida hiyo itakuwa kama Ncha ya Kaskazini!
 
yeye kauliza na mnachotakiwa ni kujibu kwamba anatumiwa au la ! na si vinginevyo ! na huo ni upuuzi kabisa mwafrika wa kike unaposema mtu anakuja kutoa vitisho wakati hamna chembe ya kitisho unachosema ! acheni tabia zenu hizo, either mjibu swali au mngeuchuna ! bi. senti 50 wee komaa nao !

mwandishi katoa haya maneno haya hapa

"Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure"

1.Je unaweza kutoa ufafanuzi wa kina,walikaa na nani kujadili na kukubaliana kuwa mwenye makala ya ka sungura anatumwa na watu?

2.a) Je mwandishi anavyodai anamshauri huyo anayemtuhumu kuwa apunguze kasi au achukue breki ana maana gani?
b) Kwenye kipengere hicho cha kumshauri katumia neno"Namshauri
tena" hilo neno TENA limebeba ujumbe gani,je aliwahi kumshauri kipindi cha nyuma au?

3. Je hivi vikiitwa vitisho tutakua tumekosea?au vitisho mpaka uone sehemu wameandika bunduki,au jela ndo uamini vitisho?

Kada Mpinzani,naheshimu sana maoni yako,ila jaribu kuheshimu maoni ya wengine pia,mambo kama "ujinga na upuuzi" uliyoyatumia dhidi ya members hayana busara,hapa kuna watu na heshima zao,njoo taratibu mkuu,hata kama unaguswa tengeneza hoja,sio unapinga tu ili mradi uonekane mpingaji,utakuwa huna tofauti na wale wanaodandia gari kwa mbele,namalizia kusema naheshimu sana comments zako.
 
mwandishi katoa haya maneno haya hapa

"Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure"

1.Je unaweza kutoa ufafanuzi wa kina,walikaa na nani kujadili na kukubaliana kuwa mwenye makala ya ka sungura anatumwa na watu?

2.a) Je mwandishi anavyodai anamshauri huyo anayemtuhumu kuwa apunguze kasi au achukue breki ana maana gani?
b) Kwenye kipengere hicho cha kumshauri katumia neno"Namshauri
tena" hilo neno TENA limebeba ujumbe gani,je aliwahi kumshauri kipindi cha nyuma au?

3. Je hivi vikiitwa vitisho tutakua tumekosea?au vitisho mpaka uone sehemu wameandika bunduki,au jela ndo uamini vitisho?

Kada Mpinzani,naheshimu sana maoni yako,ila jaribu kuheshimu maoni ya wengine pia,mambo kama "ujinga na upuuzi" uliyoyatumia dhidi ya members hayana busara,hapa kuna watu na heshima zao,njoo taratibu mkuu,hata kama unaguswa tengeneza hoja,sio unapinga tu ili mradi uonekane mpingaji,utakuwa huna tofauti na wale wanaodandia gari kwa mbele,namalizia kusema naheshimu sana comments zako.

sawa nimekupata, nitakujibu vizuri baadae nipo namserve ntu twingine !
 
Talk to the hand...................
ukishakua unaweza kuongea nami, kwa sasa kajikombe kwa visungura vya Lowasa

talk to the hand.... hahaaa maneno ya watoto wa elementary hayo, duh ! kweli you have a long way to go ! lowassa ndio nani ? sungura gani hao ? sungura tope au ?
 
Kama huyo EL anaonekana kuonewa si aende kwa pilato ili ukweli uonekane au ujulikane. I am sure hata yeye analo hilo gazeti ofisini kwake.

We need to know the reality now ule wakati wa kuabudu watu eti tu wao ni vigogo umepitwa na wakati kabisaaa
 
Bravo MKJJ!
Kazi nzuri mzee!
Bi. Senti 50 na wenzako mliokaa mkajadiliana na kukubaliana mlivyokubaliana nasikitika kuwaambia kuwa mmepoteza muda wenu bure!
 
Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure.

Huwezi kumzuia mtu kutoa maoni yake. Huyu mwenzetu aliyeandika makala katika Tanzania Daima aliandika kwa mtazamo wake,kwa jinsi anavyoona mambo yanavyokwenda sirikalini, nadhani hakuandika kwa mtazamo wetu sisi kama wana Jambo Forums.
Sasa unataka na sisi tuamini kuwa na wewe umetumwa na hao walioandikwa ama?
Tungeomba uheshimu uhuru wa mwandishi kama sisi tunavyoheshimu uhuru wako wa kuandika makala hapa jambo forums.
 
New report on Richmond deal says: Contract was signed in ’strange’ circumstances



-Key contractual issues protecting TANESCO as the client were ignored
-TANESCO’s chief legal advisor didn’t know who drafted the contract or what was in it
-’Political influence’ was the overriding factor in the contract negotiations

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE highly-controversial Richmond power generation contract was signed at night and in strange circumstances, a new report by a government agency has asserted.

According to the report prepared by the state-run Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), the Richmond deal signed last year not only contravened official government tendering procedures, but its apparent signing under the cover of darkness also raised eyebrows.

’’The contract between TANESCO (Tanzania Electric Supply Company) and Richmond Development Company was signed in strange circumstances at night and at the Ministry of Minerals and Energy, with some contractual issues protecting the client having been ignored,’’ says the PPRA report.

It now appears that TANESCO officials were literally bulldozed into signing a deal they had not even negotiated and without being given any room to review the draft contract before signing.

According to the PPRA’s 2007 report on procurement, contract and performance audit of the state-run public utility firm, not even TANESCO’s company secretary - as the company’s chief legal advisor ? was aware of ’’who drafted the contract’’ with the US-registered Richmond Development Company.

Furthermore, the report notes that there was no performance bond attached with the contract, which it says is highly unusual for such types of contracts.

The report cites ’political influence’ and ’clear interference’ in the tendering process by ’higher authorities’ in government, but falls short of revealing the identity of the top government leader(s) involved.

’’Political influence forced TANESCO to waiver from principles of the contract’’ it asserts, noting that the public utility firm was ordered to sign the contract with Richmond for the supply of 100MW thermal plant electricity even after ’conclusively’ establishing the US company’s non-responsiveness to the bid requirements and inability to deliver the services required.

A total of 26 companies initially approached the government for tender documents for the emergency supply of electricity early last year, but only eight actually tendered for the contract.

These were Real Energy (UK), Aggreko International (UAE), Richmond Development Company LLC (USA), REMCP SPA (Italy), APGUM Company Limited (Germany), Globeleq Limited (UK), GAPCO (Tanzania) Limited and QUANTUS of Germany.

The PPRA report says that after opening the original bids, TANESCO found all eight firms to be non-responsive to the terms of reference, and at the same time found that ’’the government was already interfering with the procedures.’’

This led TANESCO to cancel the tender altogether.

However, it is stated that ’higher authorities’ in government then recalled the bid documents submitted by all the eight bidders from TANESCO, and proceeded to effectively take over the bid processing exercise

The tender was eventually awarded to Richmond despite the fact that it had already been rejected by TANESCO.

To add more mystery to the whole affair, another company - Dowans Holdings S.A of the United Arab Emirates ? was unexpectedly brought into the picture last December to inherit Richmond’s contract with TANESCO.

According to the PPRA report, this new arrangement between Richmond and Dowans appeared quite odd since ’’the contract between RDC (Richmond Development Company) and TANESCO did not provide for re-assignment of the contract to Dowans, but a subcontracting arrangement.’’

After conducting its own investigation in the face of a public outcry triggered by allegations of corruption in the whole Richmond deal, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) surprisingly announced last May that the investigation had found no improprieties in the deal.

Making the announcement at a news conference in Dar es Salaam, PCCB director general Edward Hosea made no mention of any possible political interference in the contract negotiations and its ultimate signing.

All the PCCB boss said was that at one point, the government formed a three-man special committee comprising the permanent secretaries at the Treasury and the Ministry of Energy and Minerals, and the attorney-general, to oversee the contract negotiations and advise the government accordingly.

However, the revelations now emerging from the new PPRA report would appear to seriously discredit the results of the investigation conducted by the state-run anti-corruption watchdog.
 
Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako lakini pia nafikiri umepotoka kidogo.Mimi niliisoma makala ile sikuona ubaya wowote,ujumbe aliokuwa anataka kuufikisha kwa jamii umejikita zaidi kutokana na kauli mbalimbali alizotoa waziri kigogo mwenyewe.
Binafsi nampongeza mwandishi wa makala ile namuomba asikatishwe tamaa na watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Sisi walio wengi tunaamini kuwa MUHIMU ZAIDI NI NCHI YETU TANZANIA NA WANANCHI WAKE SIO KIONGOZI.Kiongozi yupo leo kesho hayupo lakini Tanzania itaendelea kuwepo.
Kama kiongozi analeta usanii lazima apewe ukweli na sio kujikomba huku moyoni unasononeka.
BIG UP wana JF wote wanaotetea uhuru wa maoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom