WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
ROSE1980 upo sahihi kabisa, eti pesa yake ni yake peke, na ya mwanamke ni ya wote....
Maisha jamani si ni kusaidiana, au ni kusaidiwa tu??
Yeye huwa anampa kwa upendo tu , mfano akienda safarii anaweza kumwambia mpenzi wangu nilitaka leo tupate dinner pamoja lakin kwa vile nipo mbali ntakutumia pesa ukapate dinner popote japo sipo jisikie tupo pamoja, ndiyo mojawapo ya stahili anayompa kumpa pesa, kuonesha kuwa anamjali japo yupo mbali naye.
mwambie heri nusu shari,kashavumilia vya kutosha atue mzigo sasa wanaume wa mungu wako wengi,,,,huyo akiingia nae kny ndoa ataweka mikono kichwani