Wanawake wenye pesa wanapendelea wanaume mazoba

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala.

Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba, huwa ana misimamo yake.

Sasa ni ngumu kwa mwanamke mwenye pesa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake maana anajeuri ya kipato chake ndio maana wanatafuta mazoba yakuyaendesha.
 
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji ) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala .

Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba huwa ana misimamo yake , sasa ni ngumu kwa mwanamke mwenye pesa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake maana anajeuri ya kipato chake ndiomaana wanatafuta mazoba yakuyaendesha.
Utafiti wako umefanyia wapi?

Leta na mifano tuamini.
 
Back
Top Bottom