Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

Caroline danzi ,asante kwa mchango wako,,pia samahani kwa kukubore kwa maelezo kama ulivyosema hapo juu,nisamehe kwa hili ila nimeeleza mengi ili niweze kutoa maelezo ya kukutosha kuweza kutoa maoni yako.

Huyu dada si kuwa anapenda sana kujirusha,,ila ana kawaida ya kutoka out labda dinner,lunch,kwenye function hivi ,mbuga za wanyama, au sehemu yoyote tofauti na mazingira ya home au kazini japo mara moja kwa mwezi au miezi,au mwaka ili angalau apumzishe akili.....hivi kufanya hivi kweli ni kutumia pesa hovyooo???. Pia hapa sijakuelewa,,hivi je mwanamke kumhudumia mwanaume wake ni kujionesha kuwa una pesa?? Au kuonesha kuwa unajali???

Na hili la ubahili hajalificha kwa boyfriend wake amemwambia na mwanaume anakiri kuwa hawezi kumpa pesa au kumhudumia kwa namna yoyote inayohusiana na pesa mpaka atakapomuoa...mwanamke anasita ksb anaogopa hata wakiwa ndoani anaweza kuendelea na tabia yake hii hii. Tabia zingine za jamaa mwanamke anazipenda saaana tatizo ni huu uchoyo na ubahili.

Narudia tena asante kwa mchango wako caroline danzi, naheshimu mawazo yako, asante sana.
 
NA TABIA YA KUSEMA aah NGOJA NIOLEWE TU NIKIWA NDOANI ETI ATABADILIKA IMEWAUMIZA WANAWAKE WENGI,,UNAYETEGEMEA ABADILIKE HABADILIKI SANA SANA NDIYO ANAONGEZA VISA UNABAKI aaah NINGEJUA NISINGEOLEWA NAYE,,labda useme ntaolewa na tabia hii mbaya NTAIVUMILIA,,,LAKIN KUMBADILISHA MTU MZIMA NA MWENYE KAURITHI KA TABIA HII NI NGUMU SANA,,
WAKATI MWINGINE LAZIMA TUELEZANE UKWELI JAPO UNAUMA........

NAJUA NA NAAMINI NO ONE IS PERFECT LAKIN KUNA TABIA ZA WATU ZINAZOVUMILIKA NA ZISIZOVUMILIKA....
 
Back
Top Bottom