Usijaribu kumsamehe mwanamke ambaye ulimfumania na mwanaume mwingine

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake
My bro’s nataka niwaambie siku zote mwanaume katika kuchepuka kwake anatumia akili
Mwanamke anatumia hisia
Mwanaume ata akikutana na mchepuko mtamu kuliko mke wake bado mke wake atabaki nanafasi kubwa katika moyo wake

Mwanamke akikutana na mwanaume ambaye Ana Dudu kubwa kuliko lako pia uwezo kuliko wako
Kwisha habari Yako ndugu yangu
Hapo ni RIP 🪦 Hakuna jinsi

Usimsamehe mke wako ukimshika Ana cheat na mwanaume mwingine
Lakini ukimfumania mwanaume wako msamahe uyo ni shetani ambaye alimpitia
 
Sawa,. Na iwe sawa pia mwanamke asimsamehe mwanaume aliemfumania, maana anaweza akawa amekutana na mchepuko mtamu kuliko yeye ikawa kwisha habari yake.
 
Mnawatoto nae 7 unaenda wapii mkuu,unasamehee afu tambua mchepuke ukimwacha atajimwambafy sana.Lakin upande wako huta pata mwanamke wa kuwacare wanao 7 kwa upendooo.

But kama kitoto kimoja fukza hiyo kenge fasta,OA Chuma kipya.
 
Usiwapangie wababa kufanya maamuzi. ...mbona sisi wamama kwny vikao vyetu hatujawahi kushawishiana kuondoka tukiwafumania...ndo kwanza tuna kula sahani moja na mfumaniwa 😀 😀
 
Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake
My bro’s nataka niwaambie siku zote mwanaume katika kuchepuka kwake anatumia akili
Mwanamke anatumia hisia
Mwanaume ata akikutana na mchepuko mtamu kuliko mke wake bado mke wake atabaki nanafasi kubwa katika moyo wake

Mwanamke akikutana na mwanaume ambaye Ana Dudu kubwa kuliko lako pia uwezo kuliko wako
Kwisha habari Yako ndugu yangu
Hapo ni RIP 🪦 Hakuna jinsi

Usimsamehe mke wako ukimshika Ana cheat na mwanaume mwingine
Lakini ukimfumania mwanaume wako msamahe uyo ni shetani ambaye alimpitia
siri za ndani unakausha tyuu maisha yaendelee...
 
Haya mambo ya mwanamke anatumia hisia mnayatoaga wapi? Mwanamke anaweza ongozwa na nyege zake tu na akagawa hata kwa stranger asiyemjua na baada ya hapo asitake kumuona tena.
 
Mnawatoto nae 7 unaenda wapii mkuu,unasamehee afu tambua mchepuke ukimwacha atajimwambafy sana.Lakin upande wako huta pata mwanamke wa kuwacare wanao 7 kwa upendooo.

But kama kitoto kimoja fukza hiyo kenge fasta,OA Chuma kipya.
mimi nina mfano hai wa wanaume 2 kijijini kwetu wote walikuwa na lika sawa.

1. mmoja alimfuma mke wake anagongwa na jamaa shambani kwake, akamkimbiza jamaa na panga ila akamsamehe mke wake wakaendelea kulea watoto wao 5. Ila jamaa hakuchukua miaka 3 akafariki.

2. wapili alimfuma mke wake analiwa na mwalimu, jamaa akampa straight red card na walikuwa wanawatoto 6 ukichanganya na ndugu ile familia yake ilikuwa na watoto si chini ya 10. Familia yake ilisambaratika ila jamaa yupo maisha yake yanaendelea vizuri tuu.

Huyo jamaa wa kwanza alikuwa mpole na baada ya lile tukio la fumanizi alikosa amani kabisa hadi akawa hajiamini hata kidogo. na hizo stress zikampelekea kifo kwani hakuwa mgonjwa na alikuwa bado kijana.

ukifumania mkeo, fukuza kwa ajili ya afya ya akili na maisha yako.
 
Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake
My bro’s nataka niwaambie siku zote mwanaume katika kuchepuka kwake anatumia akili
Mwanamke anatumia hisia
Mwanaume ata akikutana na mchepuko mtamu kuliko mke wake bado mke wake atabaki nanafasi kubwa katika moyo wake

Mwanamke akikutana na mwanaume ambaye Ana Dudu kubwa kuliko lako pia uwezo kuliko wako
Kwisha habari Yako ndugu yangu
Hapo ni RIP 🪦 Hakuna jinsi

Usimsamehe mke wako ukimshika Ana cheat na mwanaume mwingine
Lakini ukimfumania mwanaume wako msamahe uyo ni shetani ambaye alimpitia
Noted.je wewe ukifumaniwa usamehewe?
 
Kila siku mnahubiri..ni kwamba hamtaki kusikilizana/kuelewana? Ama baadhi yenu mnasaliti chama? Au nini.....
Hata kataa ndoa ni weng sana mtandaoni. Lakin kwenye ground singz a vele difelent...watu wanaoa hatari. Tena single mazaz wanaopondwa huku. Swali: Ni kwamba mnasalitiana, au ndo ukiibod weria ama nini??

Kuna epsode moja ya comrades flavour niliangalia. Jamaa kagundua kabisa mwanamke anamcheat tena mbele za watu. Lakin jamaa akawa anamfukuzia mamiloo kumuomba msamaha..mtu kakuaibisha mbele za watu na bado unamkimbiza huku unamuuliza "kwan una stress gani baby," jamaa alichanganyikiwa kabisa. Hakujal kama dada ni mfanyabiashara wala nini.

Mnaandika, mnaonyana kila siku, lakin mambo kwa ground ni tofaut sana. Afdhal smart anajisemeaga hayanaga muongozo. Humu ndani pipo tunadanganyana tu....🍸🍸🍸
 
Wanaume bana ndo mnavyojidanganya kwamba sisi wanawake tunatumia hisia kuchepuka? 🤣🤣🤣🤣
Sijui niwaambie..??!! Au ngoja niwaache
 
FB_IMG_1709906660913.jpg
 
Back
Top Bottom