Je mwanaume mchoyo na bahili anafaa kuwa mume???.

KARIBU KEREN HAPPUCH, naona unaguna hapo ,,,lete maoni yako basi nini ushauri wako katka hili?? karibu sana.

Kwa kweli nafikiri uamuzi anao huyo mdada,... kama ni kweli kwa miaka 9 hakuna hata kapipi..mhhh!!! mimi naona kuna ugumu hapo kwa kweli! Ofcourse mapenzi sio pesa..ila ni kusaidiana kwa pande zote mbili! Hata kama alikuwa anamjaribu kama anampenda kweli, basi sasa anapotaka kwenda kwenye hatua muhimu basi angemuonyesha huo upendo kwa vitendo..hata kwa zawadi ndogo tu!
 
da! haya nyama yao nimekuelewa japo ,,kwangu mh mh mh!!.......kwa jinsi anavyojua kudai nahisi hata usingizi utakosa japo polisi hatakupeleka lakin hiyo kero tu ya kudaiwa da! inaweza kukunyima raha ya kuwa na pesa yake mwisho utamlipa tu.

mie huyu? yeye ndio ataona usumbufu itabidi anisamehe tu, yaani nikose ucngiz coz nimekosa hela ya kumipa deni mpenzi wangu?
 
Endelea kuomba usiku na mchana ili uendelee kutokukutana na mwanaume anayejua kudai.....nyamayao sikudanganyi wala sikutishi huyu anadai kweli kweli kiasi ambacho usipende kuondokana na hiyo kero utamlipa tu.....akikohoa, akihema,akinyanyua na kulaza kope za jiko, akitembea, yeye kazi ni moja ni kukumbusha kulipwa pesa yake.....

Sasa ya nini yote hayo si bora kuachana naye bila deni lolote????, na usipochukua pesa yake ni mpole,mtaratibu,mcheshi,anajitolea muda wake tu, 6 kwa 6 ndiyo usisema mzuri 100% kwa hayo yote,,,ubaya wake upo kwenye kutoa kitu kinaitwa pesa..hapo yaani ndiyo o kabisa.
 
NI KWELI KEREN mapenzi siyo pesa lakin mi naamini HAUWEZI KUTENGANISHA MAISHA NA PESA......JAPO KUPEWA PESA SIYO KIGEZO PEKEE CHA KUPENDWA LAKIN PESA NI MOJAWAPO YA MBOLEA ITAKIWAYO KUWEKWA KTK UA LA KIMAPENZI.
 
Endelea kuomba usiku na mchana ili uendelee kutokukutana na mwanaume anayejua kudai.....nyamayao sikudanganyi wala sikutishi huyu anadai kweli kweli kiasi ambacho usipende kuondokana na hiyo kero utamlipa tu.....akikohoa, akihema,akinyanyua na kulaza kope za jiko, akitembea, yeye kazi ni moja ni kukumbusha kulipwa pesa yake.....

Sasa ya nini yote hayo si bora kuachana naye bila deni lolote????, na usipochukua pesa yake ni mpole,mtaratibu,mcheshi,anajitolea muda wake tu, 6 kwa 6 ndiyo usisema mzuri 100% kwa hayo yote,,,ubaya wake upo kwenye kutoa kitu kinaitwa pesa..hapo yaani ndiyo o kabisa.


unajua mtu kama huishi nae hata hakupi kero? msg/calls zake za deni nitamjibu kama kawaida" vuta subira jamani swir nikipata tu ntakuletea mambo mabaya kwasasa"...tabu kitu gani hapo....una complicate lyfe mrembo.
 
THE CHOOSEN,,,,,,,na je asipobalika na tayari yupo ndoani itakuwaje????? ndoa inajaribiwa???
 
ZANTA, sijakuelewa UNAMAANISHA NINI UNAPOSEMA SAFI SANA????
 
mmmh!! nyama yao una mambo wewe,,, haya bwana, NIMESALENDA.
 
si aolewe kwanza ndo athibitishe ubahili wa jamaa?!

Wewe, yani aingie kwenye moto tu hapana, kashaungua vya kutosha. Mi naelewa sana hii hali inavyotesa. Na ukikaa naye ndani siku akitoa pesa yake, utaandika jinsi ulivyotumia adi senti ya mwisho. Akuuuu adi change anakudai.
 
ha ah ah ahha hah a LD ni kweli kabisa lazima urudishe change hata kama ni senti.....
 
UNAONA KABISA HILI NI SHIMO,,LAKIN ETI UNASHAURIWA INGIA TU ,,,UKIINGIA HUMO NDANI HALITAKUWA SHIMO......mmh!!! hata sijui wanamaanisha nini ,,, au wanataka aje tena na tread nyingine kuwa JAMANI MCHOYO NA BAHILI HAJABADILIKA JAPO ALIAHIDI KUBADILIKA NIKIWA NDOANI,,JE NIFANYEJE WA JF.......lol
 
Kuhonga ipo mama D, mbona sisi tunawahongaga?:drum:


kaiza mnatuhonga lakini si kihivyo jama eh! hilo janaume halina hata haya lol akikutana na mwanamke asie mwaminfu atalishwa haramu

hahahaaaa
***** huyo na nakuambia akijaaliwa watoto hawatomwita baba maana hata umuhimu wake hauonekani ukilinganisha na wababa wengine................
hata huwezi kumuita mume huyo..........
 
hilo nalo neno mama D,,,,,,hivi anaweza kupona kula haramu kweli kwa ubahiri huu???,,lol
Akitoka kazini atakumbuka hata kuleta apple au chungwa kwa mtoto/ watoto au atakuwa anasubiri MAMA AWAPE......
Huu ukiuchungusa sana ni MSALA KWELI KWELI........
ASANTE MAMA D kwa maoni yako...endelea kutoa kila upatapo nafasi,,asante.
 

nunu nimepata hasira sana yaani huyo mwanaume hafai na kama huyo ndugu yako/ rafki yako mwambie heri aishi peke yaka maisha yote kuliko hicho kimeo jamani lol

Na akishakua ameingia kwenye ndoa ndo ataijua joto yake sawasawa maana inaelekea na yeye ana shingo ngum sana haelewi nini sasa hapo??? kama hawezi kusoma hata picha pia haelewi

mwambie aache ujinga amwache hyo mwanaume akalelewe na mamake maana atamzeesha kama si kumfanya
chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:disapointed:
 
Maelezo yako yanabore, ila tutakushauri kwa styel hii; wamama tuna tabia ya kuonyesha tabia zetu mwanzo wa mapenzi na wanawake wengi wanafikiri kumpeleka mwanaume outing can change a man's idea kumbe inaweza kukupa credit au ikakushusha pia. Huyo mwanaume ubahili wake inawezekana ni katika right way kwa sababu mwanamke umeonyesha tabia zake za kuspend hata kabla mizizi ya mapenzi hijakomaa. Imagine mama/baba wote ni masepender nani atashika hela au kusave kama wote ni vishoizi?

Ya pili huyo kaka kweli ni bahili kutoka tumboni mwa mamake na kakulia kwenye mazingira ya kibahli unafikiri hiyo miaka tiisa inatosha kumbadili mtu aliyezaliwa na damu ya kibahili? AKija huyo kaka anaweza kutupa wasifu wa dada na ndiyo tutakapojua kwa nini huyo mkaka ni wa hivyo. Mdada ana lake jambo, ila kwa ushauri wangu tu, angeolewa wakizaa huyo bwana I am sure tabia zote zitaisha.

Ila kama anaona tabia ya ubahili kwakeni kero basi awe na maamuzi sahihi ya kuachana nae siyo asubiri mtu abadilike.
 
Nakubalina na wewe mama d ,,nahisi huyu jamaa hajatofautisha kati ya mama na mpenzi,,,,hakuna kitu kibaya mpenzi wako kukufanya kama mama yake,,,,yaani anahisi anakuja kwako kulelewa tu,,,,,
unanigusa sana na idea zako mama d......laiti angejua huyu ni mpenzi wala si mama yake basi asingekuwa anamfanyia hivi...
Japo ana macho alishindwa kuona ksb ya mapenzi ,,sasa hivi ndiyo anaanza kuona picha kuwa yeye si mama kwa jamaa yake bali ni mpenzi kwa hiyo ni lazima washirikiane kihuduma....
 
Back
Top Bottom