Je mwanamke uko tayari?

mi sichagui kakangu ila nisichotaka ni MWANAUME MWENYE MBWEMBWE ,MAJIGAMBO,ANAYEJIBUST ...APANA

napenda mwanaume wa kawaida ..asiye na makuu ,wakawaida tu,anayevaaa simpo siyo manguo ya gharama sana apana ni kawaida tu cz i do believe mwanaume anayevaa masut daily pasipo sababu maalumu,anayevaa machen ,maviatu ya laki 5 namchululia km ana matatizo..napenda usafi na si mambo ya show off...
mwanaume kwangu ninamthamin kwa up stairs yake awe km;
..controler wangu
..director wangu
..advicer wangu

YAAN AWE KIMBILIO LANGU KWA CHOCHOTE NITAKACHOSHINDWA/UWEZO WANGU WA UBONGO UTAKAPOISHIA BAS ANIPE TAFU...n nt material thng..
sipend wanasesere au wanaojifanya km wametoka na kat ya kinshasa....m simple by nature so napendsa mwanaume simpo km mimi ..mimi sipak sjirembi ata poda sigusi iweje sasa men wangu awe abanduki dresssng trebo na mapoda kumi kumi ,wanja ,lip stk....ohhh no for that case nakuruhusu uniite nachagua sana bt MANJONJO BOY noooo apa hawana nafasi

Umnifurahisha jinsi unavyo - argue. Je unaniruhusu niku PM ili tupange date?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom