Natafuta mpenzi awe na hofu ya Mungu

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Natafuta mwanamke, mpenzi, mchumba.

Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu, na asiwe muongeaji sana tafadhari.

Mimi ni mweusi, mwenye urefu wa wastani si mrefu na wala si mfupi,
Dini: Mkristo
Kazi: Muajiriwa kampuni binafsi
Elimu: Masters
Age: 30
Location: Sumbawanga

UMRI WA mwanamke uanzie 25 hadi 45, mwanamke nataman awe Sumbawanga au mikoa ya jirani.

Ambae yuko tayari aje DM
 
UMRI WA mwanamke uanzie 25 hadi 45
Mwanamke mwenye umri wa miaka 35+ hana kazi yoyote kwenye ndoa lkn wewe unataka hata mwenye 45. Duuh! Kwa taarifa yako mwenye 45 hata k hairuhusu dushe kuingia. Kinachopita ni mkono tu.
 
Natafuta mwanamke ,mpenzi ,mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu,na asiwe muongeaji sana tafadhari.

Mimi ni mweusi,mwenye urefu wa wastani..si mrefu na wala si mfupi,
Dini... mkristo
Kazi ..muajiriwa kampuni binafsi
Elimu ... Master
Age .....30
Location.... Sumbawanga

UMRI WA mwanamke uanzie 25 hadi 45, mwanamke nataman awe Sumbawanga au mikoa ya jirani

Ambae yuko tayari aje DM
45 dah mbona parefu snaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom