Je linatoka moyoni?????? Au ndo sitaki nataka

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
564080_280585108725631_2039175574_n.jpg
 
Kama kuna wAtu wana bahati basi mimi naweza kuwa mmoja wao maana enzi zangu walikua wananifuata wenyewe, nakukumbuka sana Gift sijui uko wapi miaka hii
 
yaani hapo Tangopori kama ulishindwa kumaliza mzigo bhaaas!!
 
Last edited by a moderator:
afu huyu denti atakuia mnyalu.....huwa was=nasema ..ukiona nauma kidole ujue ndi nimekubali...aghalabu wanawake tukikataa ujue ndi tumekubali...wanyakusya wanasema wewe niangusege tu si ni dhambi zako mwenyewe
 
Ni iringa mzee ndio niangusage
 
Kama kuna wAtu wana bahati basi mimi naweza kuwa mmoja wao maana enzi zangu walikua wananifuata wenyewe, nakukumbuka sana Gift sijui uko wapi miaka hii
Hao ilikuwa ukiwa mkali wa nondo darasani wanakufuata wenyewe uwape tuition. Muda nilikuwa napanga mwenyewe, sasa ngoma ilikuwa isambe nilipofungua camp, tulikuwa tunakesha mpaka asubuhi na ilikuwa baada ya kusoma midamida nini kila msela alikuwa anachagua chemba cha kupumzika na wake.
 
Back
Top Bottom