Jaribio la kuiba dhahabu katika mgodi wa Geita (GGM) lazimwa

Lazima serikali itakuwa inajua ujanja huo,ila watakuwepo TOP DOGS ambao wanaficha haya mambo, wana chao humo.
Kwani unafikiri walikuwa hawajui ndege zinatua humo kufanya nini? Wizara ya nishati na madini itakuwa inajua.
 
Hawataki kuipitisha Dsm kwani "wanapunguza gharama".

Watz wengi hawajui mambo haya but tujue kila tukio ni darasa. NI KWELI KWAMBA "MAJAMBAZI HAYA" YALIYOOKOA DHAHABU WANAYOITA YAO wana viwanja kwenye karibu migodi yao yote. Hakuna kinachopitia Dsm au TA zaidi ya ule "mchanga wa dhahabu" ambao wanafanya hivyo kutokana na uzito tu.
Eti hukohuko migodini kuna maofisa wawili wa serikali; mmoja wa TRA na mwingine wa TMA wakifanya "uwakilishi"-I'M NOT SURE IF THIS WORKS!!
-Ni kama ile ya kamati teule ya bunge iliyotakiwa kwenda kukagua malalamiko ya wanaMARA huko kwenye mgodi halafu mwekezaji/mlalamikiwa akatuma ndege yake kuwabeba.

TANZANIA ILIPATA UHURU NA BAADAE IKAURUDISHA KWA NGUVU ZOTE NA KUWAAMBIA "HATUWEZI KUJITAWALA"... Inaumiza ila Mungu tu ndiye anaweza
kuwatetea waTZ.
Hakuna Mungu atakaye kutetea. Unahitaji nini ili ujue Mungu anakutetea? Amekupa dhahabu mali asili isiyopatikana kirahisi. Amekupa mito, bahari na maziwa makuu bado unataka Mungu akutetee.
Hakuna kitu kama hicho huu ni upumbavu ambao hauelezeki. About $2 billion annually n still they don pay tax? Country is being robbed our leaders just struggle to remain in power. Intelligence of the country is doom. It just a puppet of the rulling party to the extent that the threat to Tanzania is CDM n not foreingers who take out billions of money and n leave deadly caves. Intelligence is drunk with CCM rubbish money to the extent that they do not know when beutiful twigas n zebras are taken out by Arab jets.
The solution is only one TAKE CCM OUT n reclaim our right to protect our resources n tape them responsibly.
I work in the mine industry. I know what I am talking about.
 
Ni dalili ile ile ya failure of intelligence! Think about it.

sio wewe, labda ni kwa sababu unajulikana. sidhani kama uko huru kimawazo, lazima kuna ukweli unajaribu kuukwepa ndo maana hukuandika mengi. Pole kwa kuisaliti nafsi yako kuandika usichokiamini
 
bora aibe tu, manake hizo dhahabu zenyewe hazitusaidii lolote. RIP kamanda
 
Hapa kuna kila dalili ya udanganyifu kwenye picha hizi. Kwanza tukio linaonekana kufanyika usiku, huku jambazi akiwa amevalishwa mawani nyeusi, kitu ambacho hakiingii akilini. pili, picha ya kwanza, akiwa na mask hakuwa amevaa miwani, ila alipotolewa musk, anaonekana amevishwa mawani. which is which? huu ni mchezo mchafu unaofanywa na makaburu wakishirikiana na askari wetu wenye njaa kali, ambao yule mhariri aliyefunguliwa kesi aliwaambia watumie akili zao katika kutekeleza maagizo ya mabosi wao

Kumbe na we umeona me nilikuwa natafakari,HAPO TUMEPIGWA CHANGA LA MACHO.
 
CCM IS USING WITCHRAFT & OTHER FORCES TO RULE. Who or what force/power or authoridy do you think can OVERCOME THEM? Only with God's power is possible.

Twaweza kujua kama Mungu anatutetea kwa "WATZ KUANZA KUISHI KAMA VILE MUNGU ALIVYOWABARIKIA KILA AINA YA MALI ZA KUWAFANYA WASHI SIO WABANGAIZE".

Nguvu za giza hushindwa kwa NGUVU YA NURU. We need the light to shine in Tz.
Hakuna Mungu atakaye kutetea. Unahitaji nini ili ujue Mungu anakutetea? Amekupa dhahabu mali asili isiyopatikana kirahisi. Amekupa mito, bahari na maziwa makuu bado unataka Mungu akutetee.
Hakuna kitu kama hicho huu ni upumbavu ambao hauelezeki. About $2 billion annually n still they don pay tax? Country is being robbed our leaders just struggle to remain in power. Intelligence of the country is doom. It just a puppet of the rulling party to the extent that the threat to Tanzania is CDM n not foreingers who take out billions of money and n leave deadly caves. Intelligence is drunk with CCM rubbish money to the extent that they do not know when beutiful twigas n zebras are taken out by Arab jets.
The solution is only one TAKE CCM OUT n reclaim our right to protect our resources n tape them responsibly.
I work in the mine industry. I know what I am talking about.
 
RIP kamanda, jaribio la msingi. huwezi kufa na njaa nyumbani hata kama chakula kimefungiwa kwenye safe!!
 
natamani kulia lakini sielewi ni kwaajili ya jambazi aliyekufa au kwaajili ya dhahabu iliyobebwa

halafu sipati picha mkwe re yupo wapi mida hii na bakuli lake anapiga mizinga huku dhahabu zinaondoka kama mchezo
 
sometimes we should support wrongs for a right reason,pole jambaz mfu uliyepambana na majambazi wa kitaifa ukita kurudisha mali nchini,majambazo wote walio misituni acheni kututeka masikini,rudi kwenye drawing boards mupange kuteka madini yetu yarudi nchini. Hongereni majambazi kwa kuwaibia walowezi! jipange upya!
 
Waandishi wa habari wafuatilie hapo kwenye RED, maana hapo ndio huwa tunaibiwa kila siku mbali na hiyo habari ya Mrahaba


Majambazi wavamia uwanja wa ndege Geita
Send to a friend
Thursday, 05 January 2012 21:00
0diggsdigg

Salum Maige, Geita
MAJAMBAZI matano yakiwa na silaha za kivita huku wakiwa wamevalia kijeshi jana yaliuteka uwanja wa ndege wa mgodi wa dhahabu wa Geita mkoani Mwanza na kuugeuza kuwa wa kivita kufuatia mapambano kati yao na walinzi wa mgodi.Mapambano hayo yaliyodumu kwa muda wa saa moja.

Habari zilisema majambazi hayo yalikuwa na mpango wa kupora dhahabu iliyokuwa inatarajiwa kusafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa kutumia ndege ya kukodi ya Tanzania JT.Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya gari lililokuwa likisafirisha dhahabu kutoka mgodini, kuwasili katika uwanja huo na ndege ilipokuwa kwenye harakati ya kuruka, watu hao walianzisha mashambulizi.


Kwa upande wao polisi walijibu mapigo na kufanikiwa kumuua mmoja wa majambazi hao kwa kupigwa risasi.Polisi hao walikwenda katika eneo la mgodi kusaidiana na walinzi katika kupambana na majambazi hayo.Majambazi mengine manne yalifanikiwa kutoroka.Kabla ya kuanza kwa majibizano ya risasi kati ya majambazi na walinzi, kundi lilirusha bomu ya mkono kwa lengo la kutaka kulipua ndege.Hata hivyo bomu hil liliishia nje ya uzio wa uwanja huo na kushindwa kulipuka.

Habari zilisema kuna uwezekano kuwa majambazi hayo yametokea nchini jirani na inasemekana yalikuwa yamejificha porini hadi wakati gari liliokuwa limebeba madini, lilipowasili kwenye uwanja huo .

Katika tukio hilo majambazi yalimjeruhi mkononi wa kulia raia mmoja wa raia wa Afrika Kusini aliyetambulika kuwa ni, Engenas Vainder aliyekuwa mmoja wa wasafirishaji wa dhahabu kwenda Dar es Salamu.

Jambazi lililouawa na mwili wake kuhifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Geita alikutwa na simu mbili mfukoni zikiwa na laini za Airtel, mabomu manne na silaha moja,

Polisi walifanikiwa kukukamata bunduki aina ya SMG yenye namba UA 89381997 iliyotengenezwa mwaka1997, ikiwa na risasi 62, bastola yenye namba N004847aina ya Chines na mabomu manne ya kurushwa kwa kwa mkono.

Kwa mujibu wa ukaguzi wa polisi wa Geita, dhahabu iliyokuwa imetarajiwa kusafirishwa iikuwa katika makasha 16 zenye uzito wa kilo 400,taarifa ambayo imetofautiana na idara ya madini wilaya ya Geita.Ofisa mahusiano wa mgodi huo Joseph Mangilima alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo alisema hawezi kusema lolote kwa kuwa tayari jeshi la polisi lilikuwa kwenye upelelezi wa tukio.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barrow, alipopigiwa simu kuzungumzia tukio hilo simu yake iliita bila kupokelewa
 
Ile picha ya pili pale mbona kama Nyani Ngabu? Yupo hapa my dude kweli?
 
inamaana walimvua kofia ya kuficha uso wakamvalisha miwania au alivaa mwenyewe akiwa amekwishakufa?!!!
 
tofauti ya huyu jambazi na hao makaburu wanaokwapua bila kutulipa hata hiyo 3% kwa ku-underdeclare ni nini??

tofauti ni kwamba, huyu jamaa ni mtafutaji, hao makaburu ni wanyang'anyi.
 
Ile picha ya pili pale mbona kama Nyani Ngabu? Yupo hapa my dude kweli?

hiyo picha aliyovaa mawani ya jua? Jamaa alikuwa tozi kweli? Amekufa lakini anatoa musk, anapiga kitu cha mawani...

Kiranga taratibu na nn.
 
Dhahabu ya geita iliyokosewa kuibiwa Geita maelezo yake kwa ufupi
Kiasi: Miche 26 (bars)
Uzito: 586 kilogram
Thamani: tsh bilioni 40
Nchi inayotoka: Tanzania (nchi ya pili kwa umasikini Duniani)
Subirini niende msalani kwanza nitarudi.
Mod pliz uciifute hii thread.
Source: nipashe (7/1/12)
 
Back
Top Bottom