Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
If they voted for him, alipata kura ngapi kwenye uchagui uliopita?
kwani wewe ulikuwa wapi wakati matokeo yanatangazwa?
If they voted for him, alipata kura ngapi kwenye uchagui uliopita?
heheh nashindwa kuelewa tena na tena wataalam wa lugha wanasema "two doesn't make a right" pia plagiarism si sawa na kuiba exam! one is a crime which can be characterized with a jail sentence whereas plagiarism unaweza kufukuzwa shule though it is more of a moral offense!
i thought hakukuwa na uchaguzi? maybe i am the only one living a real life here.
Freeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude:
1. Plagiarism zaidi ya mara 4 yaani tayari alikuwa na suspension lakini ikafika ya mwisho wakamfukuza
2. Kumweka mtu (Mtanzania) amfanyie exam
3. Kashfa ya wizi wa magari including lile Vogue analotembelea hapa mjini
baaado tuu?

January. You know that you cheated in your exams. Hacha kupoteza boya bwana. Wewe ukiendelea kuwa mbishi, basi tutakuumbua. Upende usipende. Alafu na yule mdogo wako wa VoDACOM tuna yake mengi sana. Muulize yeyote anayefanya kazi kwenye executive wing watakwambia kwamba dada yako kashfa zake ni nzito kuliko zako. she is a time bomb....angenyamaza kuliko kuwa kimbelembele na kiherehere alichonacho sasa hivi
Kwa hiyo hii the so called "Gross academic misconduct" ndiyo inkufanya uhalalishe kwa nini uliiba mtihani????? I think we just have to stop cutting corners!!!!!
Sasa unatka kumfananisha JANUARY na FREEMAN MBOWE?
Tofauti zao ni sawa na mbingu na ardhi.
Jamani naomba nieleze kidogo kumtetea huyu kijana, najua inawezekana kwamba aliwahi kuiba mtihani lakini mambo mengi yanachangia katika maamuzi vijana huwa wanafanya, labda alikuwa na walimu wabaya, au alikuwa tu anafanya kwasababu wenzake walifanya.
LAKINI JAMANI NAOMBA SASA NIELEZEE KUHUSU HUYU JANUARY WA SASA. NI MTU MAKINI SANA NA ANAUELEO WA HALI YA JUU SANA. HATA KAMA SIKUBALIANI NA SIASA ZA BABA YAKE LAKINI TAFADHALI JAMANI TUWEZE KUMPA KAISALI YA KAISALI. ZAIDI HUYU KIJANA ALIISHI MAISHA YA KUTOKUJINYANYUA KABISA HATA WASICHANA WENGINE WALIKUWA WANAONA KWAMBA SIYO MTU WA KUJIRUSHA NAE KWANI ALIJALI SANA SHULE. NA HII NAZUNGUMZIA AKIWA ANASOMA VYUONI. ALIKAA KWA MAISHA YA KISHIKAJI SANA. NAOMBA MNISAMEHE KWA KUWA MKWELI. YAANI HANA MAJIGAMBO AU SIFA KAMA MALIMBUKENI WENGINE NINAO WAFAHAMU AMBAO NI WATOTO WA WATU WENYE NYADHIFA MBALI MBALI. ANAHESHIMA KWA BINADAMU WOTE WALALA HOI NA WALE WA AINA YA KIFISADI.
Hapa si kukufananisha wewe na Mbowe, bali ni kutofautisha wizi wa mitihani as a crime (jailable offence) na academic misconduct ambayo is more into ethical obligation!
Freeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude:
1. Plagiarism zaidi ya mara 4 yaani tayari alikuwa na suspension lakini ikafika ya mwisho wakamfukuza
2. Kumweka mtu (Mtanzania) amfanyie exam
3. Kashfa ya wizi wa magari including lile Vogue analotembelea hapa mjini
baaado tuu?
Hahahahah kumbe shule ni mbumbumbu hhahhaha hata dada mtu ni mbumbumbu vile vile naona. Maji yanafuata mkondo bana...Mimi hawa watu wawili January na Mwamvita siwapendi hata kuona sura zao ni wezi wakubwa hii mijitu.
Watanzania kwa kutafutana uchawi? sasa kama gari lake ni la wizi itakuwaje atembea nalo bila kukamatwa? na kama ame-plagiarate si sawa na kuiba mtihani! plagiarism kwa kiswahili fasaha ni kunakili neno kwa neno unapoandika insha bila kumsema/kumtaja mwenye hiyo hoja unayoandika! ki maadili ya uandishi wa kisayansi ni kosa ya kutompatia haki yake mhusika wa jambo unaloongelea! unaweza kufukuzwa chuo kama ukibainika mara zaidi ya moja na kosa hiliFreeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude: