January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
heheh nashindwa kuelewa tena na tena wataalam wa lugha wanasema "two doesn't make a right" pia plagiarism si sawa na kuiba exam! one is a crime which can be characterized with a jail sentence whereas plagiarism unaweza kufukuzwa shule though it is more of a moral offense!

Freeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude:

1. Plagiarism zaidi ya mara 4 yaani tayari alikuwa na suspension lakini ikafika ya mwisho wakamfukuza

2. Kumweka mtu (Mtanzania) amfanyie exam

3. Kashfa ya wizi wa magari including lile Vogue analotembelea hapa mjini

baaado tuu?
 
Kwa hiyo hii the so called "Gross academic misconduct" ndiyo inkufanya uhalalishe kwa nini uliiba mtihani????? I think we just have to stop cutting corners!!!!!
 
January. You know that you cheated in your exams. Hacha kupoteza boya bwana. Wewe ukiendelea kuwa mbishi, basi tutakuumbua. Upende usipende. Alafu na yule mdogo wako wa VoDACOM tuna yake mengi sana. Muulize yeyote anayefanya kazi kwenye executive wing watakwambia kwamba dada yako kashfa zake ni nzito kuliko zako. she is a time bomb....angenyamaza kuliko kuwa kimbelembele na kiherehere alichonacho sasa hivi
 
Jamani naomba nieleze kidogo kumtetea huyu kijana, najua inawezekana kwamba aliwahi kuiba mtihani lakini mambo mengi yanachangia katika maamuzi vijana huwa wanafanya, labda alikuwa na walimu wabaya, au alikuwa tu anafanya kwasababu wenzake walifanya.
LAKINI JAMANI NAOMBA SASA NIELEZEE KUHUSU HUYU JANUARY WA SASA. NI MTU MAKINI SANA NA ANAUELEO WA HALI YA JUU SANA. HATA KAMA SIKUBALIANI NA SIASA ZA BABA YAKE LAKINI TAFADHALI JAMANI TUWEZE KUMPA KAISALI YA KAISALI. ZAIDI HUYU KIJANA ALIISHI MAISHA YA KUTOKUJINYANYUA KABISA HATA WASICHANA WENGINE WALIKUWA WANAONA KWAMBA SIYO MTU WA KUJIRUSHA NAE KWANI ALIJALI SANA SHULE. NA HII NAZUNGUMZIA AKIWA ANASOMA VYUONI. ALIKAA KWA MAISHA YA KISHIKAJI SANA. NAOMBA MNISAMEHE KWA KUWA MKWELI. YAANI HANA MAJIGAMBO AU SIFA KAMA MALIMBUKENI WENGINE NINAO WAFAHAMU AMBAO NI WATOTO WA WATU WENYE NYADHIFA MBALI MBALI. ANAHESHIMA KWA BINADAMU WOTE WALALA HOI NA WALE WA AINA YA KIFISADI.
 
"Me and my little brother were shipped to our village Mahezangulu, Lushoto, and later to our maternal grandmother who was living alone (my mother is a sole child and my grandma was widowed early) in a village around Kyaka – now Missenyi District – about 20 kilometres between the border of Uganda and Tanzania".

I did well in school because of the good foundation but I also slid back because of the sheer enormity of tasks a village kid has to undertake.

When the goats are back, my grandmother and I would go fetch water from River Kagera

"At 6pm, me and her open shop. Most customers were men. In the village, people knew each other and many customers will drink on credit. My grandma, who died this March, was tough as steel. She would handle drunken men who are aggressive with command and authority and cow them into leaving the pub or paying up their debts".

"So, I learnt to recall and abide to these rituals, and this provided me with a set of values that I have kept todate".

"I was expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my "combination" for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination".

" It is at this stage that I started making friends with international people i.e expatriates".

" I also fell in love with a refugee girl (now happily married in Canada) but could not date her as my position as service provider to her, with all the resources at my disposal vis-à-vis hers, as a refugee and vulnerable got me to rethink the wisdom of us getting together.

"The second day I arrived, my hosts were at work and there was a ring at the door, and when I open it, two little African-American girls were there saying some things that I could not figure out.

" I had a driver's licence but had never driven in the United States apart from the test to get the licence".

" I attended a funeral mass for one of these men where the attendance is very small,

Source: januarymakamba.com

Mmmh!!
Wajameni,iiii Masanja.... mie nilishindwaga kupitaga kwenye majaribio ya grama yaliyotungwaga huko shuleni. Nipeko ka msaada bandugu. Iiiiii Masunga, mbona hayo ma-tensi yanachanganyagwa...iishi!!

Ndiyo huyo alikuwaga msaidizi wa JK (Jumba Kuu)....teh teh, alikuwaga anaandaaga spichi za Jumba Kuu.Teh..teh lugha ya kisukuma ni tamu zaidi kuliko hata kiingereza.
 
January. You know that you cheated in your exams. Hacha kupoteza boya bwana. Wewe ukiendelea kuwa mbishi, basi tutakuumbua. Upende usipende. Alafu na yule mdogo wako wa VoDACOM tuna yake mengi sana. Muulize yeyote anayefanya kazi kwenye executive wing watakwambia kwamba dada yako kashfa zake ni nzito kuliko zako. she is a time bomb....angenyamaza kuliko kuwa kimbelembele na kiherehere alichonacho sasa hivi

Huna kipya

speculations na kama unazitaka ziko blogs ambazo zina toa huduma kwa watu wenye mitazamo yako

tena za watanzania....
 
Kwa hiyo hii the so called "Gross academic misconduct" ndiyo inkufanya uhalalishe kwa nini uliiba mtihani????? I think we just have to stop cutting corners!!!!!

Sasa unatka kumfananisha JANUARY na FREEMAN MBOWE?

Tofauti zao ni sawa na mbingu na ardhi.
 
"Every student arrived in school in the morning with wet shoes (or wet feet, for those many who didn’t have shoes) from collecting moisture on grass covering village footpaths. As a city kid in the village, I stood out in the village – for better and for worse".

Source: januarymakamba.com

Mmmh.
 
Sasa unatka kumfananisha JANUARY na FREEMAN MBOWE?

Tofauti zao ni sawa na mbingu na ardhi.

Hapa si kukufananisha wewe na Mbowe, bali ni kutofautisha wizi wa mitihani as a crime (jailable offence) na academic misconduct ambayo is more into ethical obligation!
 
Jamani naomba nieleze kidogo kumtetea huyu kijana, najua inawezekana kwamba aliwahi kuiba mtihani lakini mambo mengi yanachangia katika maamuzi vijana huwa wanafanya, labda alikuwa na walimu wabaya, au alikuwa tu anafanya kwasababu wenzake walifanya.
LAKINI JAMANI NAOMBA SASA NIELEZEE KUHUSU HUYU JANUARY WA SASA. NI MTU MAKINI SANA NA ANAUELEO WA HALI YA JUU SANA. HATA KAMA SIKUBALIANI NA SIASA ZA BABA YAKE LAKINI TAFADHALI JAMANI TUWEZE KUMPA KAISALI YA KAISALI. ZAIDI HUYU KIJANA ALIISHI MAISHA YA KUTOKUJINYANYUA KABISA HATA WASICHANA WENGINE WALIKUWA WANAONA KWAMBA SIYO MTU WA KUJIRUSHA NAE KWANI ALIJALI SANA SHULE. NA HII NAZUNGUMZIA AKIWA ANASOMA VYUONI. ALIKAA KWA MAISHA YA KISHIKAJI SANA. NAOMBA MNISAMEHE KWA KUWA MKWELI. YAANI HANA MAJIGAMBO AU SIFA KAMA MALIMBUKENI WENGINE NINAO WAFAHAMU AMBAO NI WATOTO WA WATU WENYE NYADHIFA MBALI MBALI. ANAHESHIMA KWA BINADAMU WOTE WALALA HOI NA WALE WA AINA YA KIFISADI.

Mtu makini na mwenye upeo wa hali ya juu hawezi kuwa anawazuga watu humu jamvini kwa ID tofautitofauti na kumwaga pumba ambazo hata yeye mwenyewe anaogopa kujiidentify nazo! That's is why he's comfortable with pen names. The guy is just a fraud kama ilivyokuwa mzee wa kung'oa vitasa.
 
Hapa si kukufananisha wewe na Mbowe, bali ni kutofautisha wizi wa mitihani as a crime (jailable offence) na academic misconduct ambayo is more into ethical obligation!

alaaaa unataka ku justify wizi wa magari sasa au vipi
 
Hahahahah kumbe shule ni mbumbumbu hhahhaha hata dada mtu ni mbumbumbu vile vile naona. Maji yanafuata mkondo bana...Mimi hawa watu wawili January na Mwamvita siwapendi hata kuona sura zao ni wezi wakubwa hii mijitu.
 
Freeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude:

1. Plagiarism zaidi ya mara 4 yaani tayari alikuwa na suspension lakini ikafika ya mwisho wakamfukuza

2. Kumweka mtu (Mtanzania) amfanyie exam

3. Kashfa ya wizi wa magari including lile Vogue analotembelea hapa mjini

baaado tuu?

Hata Rais Kikwete na vihiyo wenzake wote ni wezi tu na matapeli na wana kashfa mrundikano... so what's the big deal? Nyambaaf!
 
Hahahahah kumbe shule ni mbumbumbu hhahhaha hata dada mtu ni mbumbumbu vile vile naona. Maji yanafuata mkondo bana...Mimi hawa watu wawili January na Mwamvita siwapendi hata kuona sura zao ni wezi wakubwa hii mijitu.

Angalia CV za watu baana, kabla hujaanza kutukana. Huwezi kumuita January Makamba mbumbumbu halafu unasapoti Freeman Mbowe, Godbless Lema ambaye hata form 4 hajamaliza na Mr II Sugu. You are being a hypocrite. Hebu tuwe consistent na misimamo yetu, tusiyumbishwe na emotions za kishabiki wa chama.

Sasa unamchukia January, na Mwamvita (who both have at least masters degree) halafu unawasingizia kuwa wezi----in return ni mshabiki wa freeman Mbowe who is a well known dummy, na kasoma kwa kuunga unga. It says a lot about u aisee.
 
Freeman Mbowe alifukuzwa Hull University kwa kuwa na GROSS ACADEMIC MISCONDUCT ambayo kwenye rap sheet yake ilinclude:

1. Plagiarism zaidi ya mara 4 yaani tayari alikuwa na suspension lakini ikafika ya mwisho wakamfukuza

2. Kumweka mtu (Mtanzania) amfanyie exam

3. Kashfa ya wizi wa magari including lile Vogue analotembelea hapa mjini

baaado tuu?
Watanzania kwa kutafutana uchawi? sasa kama gari lake ni la wizi itakuwaje atembea nalo bila kukamatwa? na kama ame-plagiarate si sawa na kuiba mtihani! plagiarism kwa kiswahili fasaha ni kunakili neno kwa neno unapoandika insha bila kumsema/kumtaja mwenye hiyo hoja unayoandika! ki maadili ya uandishi wa kisayansi ni kosa ya kutompatia haki yake mhusika wa jambo unaloongelea! unaweza kufukuzwa chuo kama ukibainika mara zaidi ya moja na kosa hili

kuhusu kufanyiwa mtihani, ushaidi upo? maana hata mie naweza nikaibuka nikasema wewe ulifanyiwa mtihani! leta ushaidi! mwenzio Makamba amejitaja kwa kujikanganya kwa kutumia lugha ya kisiasa!
 
Thread ishaingizwa Mboweet al na CDM kwa ujumla as defence mechanism.lol..mtu akiishiwa bana.

Pathetic
 
January. You know that you cheated in your exams. Hacha kupoteza boya bwana. Wewe ukiendelea kuwa mbishi, basi tutakuumbua. Upende usipende. Alafu na yule mdogo wako wa VoDACOM tuna yake mengi sana. Muulize yeyote anayefanya kazi kwenye executive wing watakwambia kwamba dada yako kashfa zake ni nzito kuliko zako. she is a time bomb....angenyamaza kuliko kuwa kimbelembele na kiherehere alichonacho sasa hivi

Kaka huyu ulomjib ni a$$kisser tu, mwenyewe yupo hapa hapa angalia vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom