January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
Hii habari inatambaa sana mitandaoni ikimuhusisha waziri wa sasa wa nishati na wizi wa mitihani,j e ina ukweli?

Mliosoma na January Makamba hebu liwekeni sawa hili jambo, huyu mtu anatarajia kuwa kiongozi wa nchi baadae, kama aliiba mtihani je anafaa kukabiziwa Ikulu?
Wazee wenye nchi. Wazee wa mwambao hawawez kumpa huyu dogo.. mjinga sana huyu mtoto
 
Kwenye thread nyingi zinazofunguliwa kumuhusu January Makamba napata picha uelewa wa watu upoje!
 
Kama tutaanza kuwahukumu watu kwa makosa ya utotoni, hakuna atakayebaki salama!.
Tunapotafuta viongozi tunaangalia uwezo wa uongozi, sifa na vigezo, viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, hivyo wanaruhusiwa kufanya makosa yoyote ya kibinaadamu.
P
Nakufuatilia sana comments zako japo zingine zinajaa siasa sana lakini basi ndo makosa ya kibinadamu hayo.
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, "aliyeonja nyama ya mtu haachi...!"
 
Haya ni majungu dhidi ya Mheshimiwa Makamba, ni wivu ule ule unaosumbua akili zetu za kitanzania.

Ndio keshakuwa waziri na anakubalika kwa Rais huyu na yule wa awamu ya nne, Uzi kama huu ni sehemu ya udaku usioweza kumfanya lolote waziri, ni kujisumbua tu.
Sio wivu mleta mada ana mantiki kubwa .Kwanza ,Kama alikuwa anaiba mitihan ,Ina maana Hana akili yeyote ya kuingiza hapo alipo.Amechaguliwa kwa kuwa Makamba senior alikuwa katibu mkuu wa CCM.Pili ,implication yake katiba mpya ni muhimu,ili kuepuka wahuni kutuongoza.
 
Wanabebana haswa
 
Hii habari inatambaa sana mitandaoni ikimuhusisha waziri wa sasa wa nishati na wizi wa mitihani,j e ina ukweli?

Mliosoma na January Makamba hebu liwekeni sawa hili jambo, huyu mtu anatarajia kuwa kiongozi wa nchi baadae, kama aliiba mtihani je anafaa kukabiziwa Ikulu?
Thibitisha kauli yako
 
Kama tutaanza kuwahukumu watu kwa makosa ya utotoni, hakuna atakayebaki salama!.
Tunapotafuta viongozi tunaangalia uwezo wa uongozi, sifa na vigezo, viongozi wetu ni binadamu na sio malaika, hivyo wanaruhusiwa kufanya makosa yoyote ya kibinaadamu.
P
Miafrika ujuha sijui utaisha lini,yani wizi wa mtihani unasema ni makosa ya utotoni-watu walitakiwa wawe magerezani.
 
Haya ni majungu dhidi ya Mheshimiwa Makamba, ni wivu ule ule unaosumbua akili zetu za kitanzania.

Ndio keshakuwa waziri na anakubalika kwa Rais huyu na yule wa awamu ya nne, Uzi kama huu ni sehemu ya udaku usioweza kumfanya lolote waziri, ni kujisumbua tu
Kwa comments kama hizi naanza kuamini watanzania tulio wengi ni wajinga na kamwe Tanzania haitakuja kuendelea!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom