January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kabisa hata yeye mwenyewe JM amekubali katika hiyo web site yake lakini ametumia maneno ya kisiasa tu kulembalemba, I quote him " And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake"

Sasa kama anasema 'I was mistakenly linked to a cheating scam' mbona sasa hakurudishiwa matokeo yake? kwa hiyo hapo kuna ukweli kabisa kuwa ali-cheat. Mkubwa JM kubali tu yaishe, wewe si wa kwanza kuna viongozi wangapi vihiyo? kwa hiyo wewe hutakuwa wa kwanza.Pole sasa baba.
Ingia hapa usome kilichotokea, instead of smearing nasty rumors babu. January Makamba.com
 
usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa kinala, second mistress alikuwa mama msemwa. matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo. Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour? najua january nitamkamatia wapi. akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. hatuwezi kuongozwa na wezi wa pa

ndugu, naona unataka kupambana na kifaru,sasa hata ukimuanika unafikiri atafanywa nini? ameshindwa kuhukumiwa ROSTAM AZIZ na kuhujumu nchi itakuja kuwa sembuse huko kuiba mitihani?
tulia tu ungojee, zamu yako ikifika na wewe uanze kula,kupambana Tz ni ngumu sana, ni kama unapiga ngumi ncha ya kisu.
yangu macho, nasubiria
 
Dawg thats wassup..

Nways, to be honest, the little wannabe smelled PHONY the first time i heard his name..like fada like..what
 
anaweza kubisha kweli kwa sababu haujaweka evidensi

Mkuu hamna haja ya kuweka evidence. Soma maandishi yake mwenyewe. Either anakubali indirectly or anajichanganya kwenye maandishi yake. This is what he says:

I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded.

The issue is did he finally get the results? What does he mean by saying 'but I succeeded'? Does he mean that he 'succeeded' by passing the exams he did resit or he succeeded by getting the original results which were "mistakenly linked to a cheating scam"? If he means he succeeded getting the original results "mistakenly linked to a cheating scam" then why "It was such a task" of getting them? This statement warrant more explanation. But we all know that it is such a task to resit exams and get good results.
 
Doesnt matter, more than 160,000 in his constituency voted for him, FAIR & SQUARE

let it go kaka...I think wana Bumbuli know more than you
 
Doesnt matter, more than 160,000 in his constituency voted for him, FAIR & SQUARE

let it go kaka...I think wana Bumbuli know more than you

i thought hakukuwa na uchaguzi? maybe i am the only one living a real life here.
 
Doesnt matter, more than 160,000 in his constituency voted for him, FAIR & SQUARE

let it go kaka...I think wana Bumbuli know more than you

If they voted for him, alipata kura ngapi kwenye uchagui uliopita?
 
sasa mbona siku zote ulikuwa kimya mkubwa? kwa nn umeibuka leo?

Ndugu Matarese, salamu kwako na kwa wana JF wote.

Binafsi sijaelewa msingi wa soment yako. Je, unamkatisha tamaa muanzisha mada hii? au Unajaribu kumdefend mwana makamba toka kwa shutuma hii?

Kama sijasahau, hii mada sio mpya. Iliwahi kuletwa hapa mwishoni mwa mwaka jana, lakini kwa sababu za Moderator wa JF aliiondoa mada ile mda mfupi baada ya kuanzishwa.

Kwa sababu hiyo basi, hili sio issue ya uchochezi wala majungu. Binafsi nilikuwa Galanosi ila nilimaliza mwaka mmoja b4 Makamba. Jina lake halikuja kwenye matokeo ya mwaka ule. Ilisemekana ni kwa sababu wasahihishaji walikuta karatasi mbili mbili za majibu zenye jina lake.

TUNAOMBA WALIOSOMA NAE DARASA MOJA WAENDELEE KULETA USHUHUDA.

Udanganyifu kwa watoto wa vigogo tanzania ni kitu cha kawaida.

Nawakilisha
 
Soma wasifu wake amejieleza kwamba alifutiwa matokeo ya mitihani kwa udanganyifu, ndipo akaenda kurudia kama private candidate. Nimemshangaa huyu jamaa kasoma marekani university ya Watawa wabenediktini maana yake alikuwa anaswali swala ya ofisio ya wabenediktini wakatoliki. Lakini alibadili upepo kwenda graduate nyingine badala ya kuendelea na ile gwiji la university ile ya Indiana Notedam yenye sifa ya wahitimu wanaolipwa kiwango cha juu marekani.

:bange:Ndio huyu anayempa baba yake aya za biblia ili kujenga hoja jukwaani.:bange:
 
ni kweli huyo bwana aliiba mitihani kuna mdogo alikua darasa moja kaniambia ni kweli walitangaziwa na mkuu wa shule wana jf mbona karibu woote watoto wa mafisadi wanahistorha mbaya? Charles nyatega mtoto wa mkuu wa bodi ya mikopo alipata zero dakawa leo yupo tumain sheria mwaka wa 2, pia dada yake mery nae alipata 4 ya mwisho akapelekwa marekani, sekela mwakipesile alikamatwa na majibu CBE dsm akafukuzwa akaenda dodoma kisha babake alikua mbunge wa kyela akamuunganisha usalama wa taifa then akaenda mzumbe, miraji mkwere nae jeuri na utukutu makongo akapata ziro baba yake fisadi rais alieiba kura na ushindi wa dr slaa akampeleka india, leo hii ndio wanene wa serikali riz 1 kabebwa na akina masha na magai mpaka ka graduate udsm, hapo kazi ipo wakuu, tunahitaji mapinduzi ya kweli wengi mbumbumbu hakuna kitu vichwani mwao.
 
Mbona Freeman Mbowe kafukuzwa University kwa wizi na plagiarism kule UK na alitaka awe RAIS wa TANZANIA

If that is true. Wrong and wrong does not make things wright mkuu. Naona unataka ku-validate wizi wa mitihani. It is simply wrong. Unajua kama unajitahidi darasani na umeweka good reputation yakufanya vizuri kwa walimu wako, hawawezi hata kukudhania umeiba mtihani. Hii inaonyesha alikuwa simply kilaza.
 
Mbona Freeman Mbowe kafukuzwa University kwa wizi na plagiarism kule UK na alitaka awe RAIS wa TANZANIA
heheh nashindwa kuelewa tena na tena wataalam wa lugha wanasema "two doesn't make a right" pia plagiarism si sawa na kuiba exam! one is a crime which can be characterized with a jail sentence whereas plagiarism unaweza kufukuzwa shule though it is more of a moral offense!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom