Jamani ku-share huku kunakubalika?

Mwalimu keshasema kuwa 'insanity' ya wakati ule inainfluence sana choices za nini kifanyike. rationally thinking, vitu vingi tu hapa vinaonekana 'nasty' lakini 'mzuka ukipanda' vinaonekana poa tu
 
LIZZY,NN,HEART na wengine...jibuni hili....

baada ya chumvini na koni,mnarudi na denda tena???????
 
:lol::photo: kinachokufaa na mpenzio sio lazma kiwafae wengine. mbona kuna mambo mengine ya hatari zaidi ya hayo hufanywa na wapenzi? fanyeni na mama erick kinachowafaa na kuwapendeze nyie, kuna couple hazifanyi hata lip kiss, na wako fine tu. ya kina baba enock na mkewe waachieni wenyewe
perfecto King'asti!
Kama mimi mambo ya nyamnyam sitaki hata kuyasikia,sasa tumuulize baErick je ye na maErick wanayapractice?
 
Kuna mtu alishawahi kusema,mapenzi ukitaka kuyafaidi usione kinyaa,unaenda chumvini,unaingiza ulimi kwenye mlango "jalala" yote haya kumfanya mtu wako apate raha,sembuse kufuli,mswaki,taulo na mengineyo?
 
Wanadamu tunakufuru sana nyakati hizi, Mungu aliumba kilakitu kwa malengo yake. Huwezi kufananisha tendo la ndoa na kuchangia mswaki aunguo kuvaliana! Maandiko ya kitabu cha dini Fulani yanakataza jinsia Fulani kuvaanguo za jinsia Fulani, tena yanaagiza kwa ukali kwamba na alaaniwe jinsia Fulanikuvaa nguo ya jinsia Fulani!
Tukirudi kwenye suala la tendo la ndoa ambalo liliagizwa kwalengo la kuongeza uzao duniani lakini sisi tukalligeuza la starehe ndipotukaongeza vionjo vya denda, kuzama chumvini, kula koni na hata kutumia mlangomwingine! Eti kwa kisingizo cha kutayarishana sijuhi kuhamasishana nk nk. Haya hayamokabisa katika mtaguso wa kuongeza uzao duniani, ingekuwa hivyo zile mimbazipatikanazo kwa kubakwa zisingekuwepo.
Sasa haya mambo ya nyongeza ndio yanapelekea kuchangia vitukama hivyo vya miswaki, nguo, taulo nk. Ila kuna jambo moja atakayekuwahajakubaliana na mimi afanye utafiti wake binafsi, mambo haya ya kufanya mengizaidi yanapelekea couples nyingi kukinahiana mapema na hivyo kuvunja mahusianomapema!
 
Back
Top Bottom