BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Ndio ukaaji gani huo hadi kitambaa kinataka kuanguka..lol
Hao wachovu walio pembeni ni akina nani?
Huyo ndio rais wetu,tena tunampenda kweli.....ata mseme yepi mnayotaka kusema huyo ndio Prezidaaaaaa wa TANZANIA,Habari ndio hiyo....hayo mengine yote mnayo sema ni vijimambo tuuuuuuuuuuu
Very unprofessional
hahahahahha lol ule wimbo naona Professor J aliutayarisha ajili yake lol..
eti... niliwahidi mkafanye practical mwezini... baada ya uchunguzi nikagundua huko mwezini kuna baridi sana ....
huu wimbo naupenda sana lol
Haya bibie