"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.
Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza big G zangu. Kikwete aliniambia kwanini siendi shule. Kikwete aliniambia kuwa anataka nisome. Kipindi hicho nilikuwa naitwa Steve Big G" - Steve Nyerere