Jakaya mrisho kikwete na full boot.

Huyo ndio rais wetu,tena tunampenda kweli.....ata mseme yepi mnayotaka kusema huyo ndio Prezidaaaaaa wa TANZANIA,Habari ndio hiyo....hayo mengine yote mnayo sema ni vijimambo tuuuuuuuuuuu

Fafanua unamaana gani kusema Raisi wetu? Sisi hatumtambui rekebisha kauli yako wewe!!!!!!:faint:
 
hao jamaa wa pembeni ni kama anawaza anamaliza saa ngapi? huyu mwingine duh hivi haya anayaongea Mh.Rais au... ?
 
ngoja niche mie, urais siyo kazi ya kitoto, uko mbele wa 'development partners' halafu huna point du, utanyoosha miguu au hata kuanza ze pipo ze pipo of naniii
 
atakuwa alijisahau akadhani yuko kwenye mkeka, jamani hayo hutokea siku moja moja... tumuie radhi...
 
Mwinyi mwinyi tu hata akiwa nje ya bagamoyo, sasa wenzake wamekaa up straight yeye loose straight, hii hutoa hata picha ya uongozi kwa ujumla ni full legelege.
 
Yaani nawaza saaaaaana mpaka.....Eti UCHUMI umekua kwa foleni za barabarani na kuomba misaada nje ya nchi.
 
Mbona hawa wazungu waliomzunguka Mheshimiwa Rais wanaonekana kama wana mshitiko au mshangao fulani? Au Mheshimiwa Rais alikuwa ndiyo amewaeleza kuwa nchi yetu kimahesabu ya UNDP ni moja kati ya zile kumi maskini sana na hapo hapo ni ya tatu Africa kwa utajiri wa madini (baada ya South Africa na DRC Congo)? Basi wakashituka na kushangaa, hawaelewi kabisa maana mabo kinyumenyume!!!
 
Body language ya Mr. Rice na yule mwenzake says it all - jamaa alikuwa anafuka tu...na kigugumizi chake, points (pumba!?) zilikuwa zimegoma kuflow huku akigonga gonga meza na kupiga miguu chini.

God help us!
 
Watu wa usalama wa taifa na ulinzi wa Rais they needed to notice this na kumpa taharifa kuwa mzee sasa unakuwa unproffessional. Maana watu kama yeye ni kujihabisha kwa kukalia mgongo kwenye kiti tena ndani ya mkutano, nina wasiwasi hii ni photoshop
 
Apo naona mtakuwa mumemchomekea JK jamani khaa kama ni kweli unaweza kuta alikuwa anatafuta point akaacha ile style yake ya kujikuna kichwa
 
hahahahahha lol ule wimbo naona Professor J aliutayarisha ajili yake lol..
eti... niliwahidi mkafanye practical mwezini... baada ya uchunguzi nikagundua huko mwezini kuna baridi sana ....
huu wimbo naupenda sana lol

Haya bibie
 
Hana discipline na posture yake, yaani kajilegeza kateleza kabisa kwenye siti, wenzake wote wako wima.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom