J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani

PLEASE CHADEMA DO THAT!!! Hatutaki siasa katika hili wala baadae muwe kimya! these are rarely opportunity that will never come twice! Mahakamani panatosha sana.
 
Jamani kama ni Asofia Simba hakuna haja ya kumshitaki,huyu mama ana ugonjwa wa kichaa ndicho kinamsumbua jasa pale anapoacha kumeza dawa
 
atajuta...

kila kitu kipo kuanzia human resource mpaka financial resource.

wabunge 80*90, 000 000 = 7,200,000,000

plus 20 000 000 000 alizosema chadema tumepewa.

plus support ya waTZ.

kama ana mimba 'itatoka'

Ya nani, ya baba mwenye nyumba niniii?
 
Makada wa CCM tumieni busara kuitetea chama chenu, mnavyofanya kushutumu chama kinachowakosoa kitawamaliza bila kujua, angalieni kilichoikuta KANU huko Kenya, leo wana jimbo moja na mbunge mmoja ambaye naye anakabiliwa na kesi ya uhalifu wa kivita/mauaji ya watu The Hague, kwasababu ya vurugu za baada ya uchaguzi wa 2007.

HIKI KUSEMA GHARAMA YA MAISHA IMEPANDA SERIKALI MCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI NI KUSABABISHA VURUGU? KUKUMBUSHWA KWAMBA MAMA UMEJISAHAU ANGALIA WANANCHI MAMBO YANATULEMEA TUKUMBUKENI NDO KUSABABISHA VURUGU? NAOMBA MJUE KUWA MNAYOYASEMA YANASIKILIZWA NA KUTAFAKARIWA NA WATU WAZIMA WENYE AKILI TIMAMU WANAOJUA KUWA HUU NI UKWELI NA HUU SIO UKWELI. SUKARI BEI IPO JUU, NAULI SASA IMEONGEZEKA, MAFUTA NDO USISEME, KATIKA TAIFA HATUNA MAMLAKA YA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI, HAYO NDO YA KUJADILI ILI WAPINZANI WENU WASIPATE MWANYA, BILA HIVYO MTAKUFA KIFO CHA KANU NA WATAKAOWAZIKA NI HAO WALIOWAPA KURA SI CHADEMA.

KWANINI KATIKA SERIKALI NA CHAMA KILA MTU NI MSEMAJI?

Sasa tafakarini kwa kina, si kila mtu anawza kusema katika chama akafikisha ujumbe, Mwachieni msemaji mmoja au wawili.Natumai mna katibu Mkuu Makamba ambaye wanachama wamemchoka, pia tuna Kapteni Chiligati bado tunamwamini kidogo, hao ndo waseme. Sofia Simba na wengine chapeni kazi mliyoteuliwa. Kama ni maswala ya Jamii na uhusiano basi mwachieni Waziri Wasira na Lukuvu waliopewa kazi ya sera na uratibu na utaratibu.

Sofia Simba tunakumbuka uliwasilisha muswada wa baraza la usalama wa Taifa ukitaka kupunguza madaraka ya Rais, Mzee Malecela na Slaa wakakuonya na kukuamuru urudishe ule muswada uliko utoa. Ile ilikupotezea sifa kuwa hukusoma muswada uliandaliwa na wenye njama zao wakakutumia. Sasa Rais amekuhurumia kakupa kawizara ya watoto na ustawi wa Jamii piga kazi waridhishe wananchi ili hao Chadema unaowasema wanavuruga nchi japo si kweli wakose cha kusema.
 
Huyu mama atamwita Mnyika ampe ii kitu yaishe, si mnajua anavyotoa anapata madaraka.
 
Akajibu na atoe ushahidi,kauli tata kama hizo zikiachwa bila kukanushwa au mhusika kuchukuliwa hatua wananchi wataamini ni kweli
Eg the list of shame imepita bila kukanushwa
 
PLEASE CHADEMA DO THAT!!! Hatutaki siasa katika hili wala baadae muwe kimya! these are rarely opportunity that will never come twice! Mahakamani panatosha sana.

Siasa za Tanzania hizi bwana hakuna ACTION...maneno mengi na vitisho halafu baadae kimya.

Juzi juzi tu nimemsikia mkulu kwenye ile hotuba yake ya mwisho wa mwezi hakuna jawabu lolote lile la matatizo ya nchi...zaidi analalamikia chadema na mvua.

Miaka mingi nunatumia hydro power kwa hiyo ni lazima iko risk analysis yaani kama mvua ikikosekana...Rais mzima analalamika tu na hakuna hata njia yoyote ile aliyosema ya kutatua matatizo.

Nao CHADEMA wamempa tisa siku na sasa zeshapita masiku kadhaa....hii ndio siasa zetu.

Nimesema mara nyingi tu hakuna nchi rahisi kuongoza kama TZ, bahati mbaya hatujampata mzalendo wa kutuongoza...hata wabunge wetu hawa wote ni wabinafsi wametumia 'mavijisenti' mengi kuupata huo ubunge sasa wako pale kurudisha gaharama zao na kuvuna na wengine sasa hivi wanajitayarisha kwa chaguzi za mwaka 2015.

Yaani kila kukicha wananchi wazidi kudidimia na wachache wanazidi kutanua...Je hali hii itaendelea mpaka lini?
 
Chadema kinaongozwa na viongozi makini, wasomi na waangalifu sana! Agenda ya chama ni kuwaongoza watz kutoka katika mikono ya wadhalimu, mafisadi yasiyo na huruma hata kidogo! Hizi cheap politics za CCM hazitafua dafu. Sisi sio wa 47 wa kudanganywa danganywa na amani amani huku wanavuna nchi!
CHADEMA stay focused! Hizi distraction are simply craps! Agenda yetu iko pale pale washitakini kwa wananchi watanzania ndio watakao wahukumu!
 
Jamani, humu JF hakuna utaratibu? Kila mtu anaanzisha uzi wenye mada ile ile. Nadhani ni vema kupitia "New posts" kabla hujatunga uzi mwingine!

Utaratibu upo,kwanza wewe ulipaswa kuangalia tofauti ya muda katika hizo post ambayo hardly ni dakika moja.Halafu utakuta wanaopost wanatumia simu.Sasa wakati unaandika mwenzio anapost.

Ukimaliza na kupost unakuta mwenzio ameshapost dakika moja nyuma.Sasa how can u check the existence of the thread concerning the same topic while at the same time post yours using your mobile???

Acha kuropoka mtoto wa kike.Wewe ni Sofia Simba nini??.Mavuvuzela utawajua tuu.
 
WANA WA NCHI, MNYIKA, WADAU NA WAPIGANAJI WOTE, CHADEMA. Napenda kuona kama kuna haja ya CHEDEMA kwenda mahakamani:

1. Mtu (s.simba) anaekusudiwa kupelekwa mahakamani, ni mropokaji mtu wa kukurupuka kuropoka kila kitu, (rejea kauli zake- wanawake wanyimeni unyumba waume zenu, ccm imejenga shule za kata hata watoto wa kke wakifeli wanajua kuchagua wanaume. Kauli zake zipo kibao) jamii inamchukia, HIVYO KUDILI NA MTU KAMA HUYU KUPOTEMA MUDA.

2. Wana wa nchi... Mfumo (katiba) ni kimeo hakuna uhuru wa mahakama, "kesi ya ngedere kwa nyani..." [Ndio mfumo uliopo] westage of time

3. Kama kila anaeropoka tunakwenda mahakamani, basi idara ya sheria CDM itakuwa busy sana kwani waropokaji ni wengi sana, Si ccm-A na ccm B,[CUF, TLP, NCCR] kina Mtatiro, Lipumba, Mbatia Mohmd Rashid na mengine kbao

4. Propaganda daima ni za kupuuza tu kwenye politics, CDM tukienda mahakamani kila siku watakuwa wanazua jambo, coz media zote zao.

USHAURI:
>huyo Membe abanwe ataje that is good
> huyo Simba ni kukanusha tu. Its enough
> Nguvu ya umma, kuwaambia wana wa nchi l meant kuwashitaki kwenye mahakama ya wananchi, Rejea mwembe yanga list of shem
NAWAKILISHA
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.

Na Wananchi wengi tunataka Chadema kuwapeleka hawa vichaa wakina Membe Mahakamani wakajieleze midomo yao na fikra za ccm wamezitoa wapi. Hizi propagandas za ccm kuwadanganya wananchi zimekwisha sasa na tunaona kutapatapa kwao mara amani mara mabalozi. Even those embassy representatives are eager to work with new leadership in Tanzania. Membe na ccm yako mnaona wazi credibility yenu duniani imekwisha na mnaogopa kwamba mnaondoka sasa. Kwa ufahamu wako mdogo, Membe na Sophia, Tanzania is heavy depend on foreign aids because of your incompetent work. Why other countries should not disregard you and ccm? Mnatumia pesa za donors kuwakamndamiza Watanzania mnafikiri mpaka lini wata-shake hands na nyie? Hizo Barozi zipo hapo hapo Dar na wanawaona jinsi gani mnavyo-run nchi ki-fidilism na kuiba kila mahali without fear of the people. Tutaona mtajitetea vipi wakati huu.
 
Na Membe?

unashangaa membe??ulimuona kwenye kipindi cha dakika 45?aliongea pumba mwanzo mwisho..hivi hawa jamaa hawana ujasiri wa kusacrifice posho kuwasaidia watz masikini,..maana huwezi kuitetea ccm kama una akili timamu,.ccm hii ya leo imeoza hakuna msafi,.ndo maana mi naona sitta,mwakyembe na magufuli hawafai,.wanajua kuwa ccm haifai lakini bado wapo huko kuchuma matumbo...
 
Acha apelekwe kama ni uropokaji atausema mahakamani, CDM huwa hawakurupuki ni mangapi yamesemwa na matusi wa viongozi wa CDM lakini wamenyamaza kwanini hili hujiulizi
 
- Chadema wangejiepusha na this kind of politics, wajikite kwenye kuwahamasisha wananchi kuhusu mapungufu ya watawala na what are the solutions, kama walivyofanya kwenye ishu ya Buzwagi. tunajua kwamba vyama vyote vya siasa nchini vinafadhiliwa na mataifa ya kigeni wala sio siri na infact wala sio kuvunja any sheria ya Jamhuri kwa sababu hatuna!

- So Chadema as much as some of us ndani ya CCM tunaheshimu sana kazi mnayoifanya sasa hivi kuwakosesha usingizi tembo huku CCM, ni vyema mkaelewa tofauti ya propaganda na policies, hii ya hela kutoka nje ni none-ishu!


William, @ NYC, USA.
 
Hata kama kuna tetesi vi vyema Serikali ingefanya tafiti na kutoa taarifa kamili kuliko haya matamshi.
Enzi za mwalimu mambo yalikuwa Kimya kimya





JK usimwache kia mtu aseme badala yako tutakufa watanzania tusio na hatia

Ni kweli kabisa mkuu lakini usitegemee hilo kwa CCM ya Kikwete! Yaani Sophia Simba, Chiligati, Sokwe (Wassira), Guninita, Membe wafanye utafiti kabla ya kuongea? CCM wako overwhelmed na mtaji mkubwa wa CHADEMA (nguvu ya umma) na wanaogopa kwamba sasa wananchi hawadanganyiki tena na propaganda zao za kipuuzi za utulivu na amani huku wananchi wakizidi kuwa masikini wa kutupwa, haki ikiporwa na mafisadi wakizidi kuneemeka na rasilimali za nchi hii. Naona safari hii Makamba na Tambwe Hiza wako kimya au ndio wanafanya utafiti kwanza wa namna ya kujibu hoja za CHADEMA?
 
Jamani kama ni Asofia Simba hakuna haja ya kumshitaki,huyu mama ana ugonjwa wa kichaa ndicho kinamsumbua jasa pale anapoacha kumeza dawa
Yule kichaa aliyemzaba kofi Mwinyi alishitakiwa huyu ni waziri mzima kama ana kichaa atakisema akiwa kizimbani.
 
Aburuzwe mahakamani....Mahakama ndo itaamua kama ana akili timamu ama la...I wonder how she wont qualified to be fit for the trial na wakati she's fit for a ministerial position.Bongo vurugu tupu.
 
Back
Top Bottom