J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani

Jamani, humu JF hakuna utaratibu? Kila mtu anaanzisha uzi wenye mada ile ile. Nadhani ni vema kupitia "New posts" kabla hujatunga uzi mwingine!
 
chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba cdm wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.

sawa kabisa lazima huyo changu afikishwe kortini.huko ndo atakwenda kueleza vizuri ni balozi zipi zilizoifadhili chadema. Ccm ndio inayohatarisha amani nchini na sio chadema. Ukisikia uchochezi wanaouimba, sasa ndio huo.
 
hv kwann huyo mpumbavu SS hafi?

Ndugu kwa hili sikuungi mkono. Si sahihi kuombea wenzako vifo kwa sababu tu unatofautiana nao kwa sababu yoyote ile. Ukifanya hivyo hutokuwa tofauti na wale wanaoombea wenzao eti dua mbaya (ya kifo) kama ambavyo aliwahi kufanyiwa Mh. Augustine Lyatonga Mrema. Hata hivyo nahisi ulikuwa unatania tu.

Huyu Mama (Mh. Waziri) na wengine wa aina yake dawa yao ni kucheza nao kisheria mahakamani na mashitaka kwa umma. Lakini hukumu nzuri zaidi ni kuwapuuza.
 
Cdm is clean. Labda kama wamepewa msaada wa watz wenyewe. Na msaada wenyewe ni kukubali ukweli wa cdm! Ningeomba Mnyika waongeze iwe kesi ya madai na itaje kiasi icho icho alichotaja Sophia Simba bil.20 kama fidia ya image ya chama,nadhani hapa Marando, Lissu na akina mh.Albert Msando watalisikia ombi langu. Nawasilisha.
 
Naomba iwe kweli na sio siasa tu za kwenye vyombo vya habari,kwenda mahakamani kutawafanya wawe makini na kauli zao siku nyingine maana wanaongea utumbo mwingi na wakijua kabisa kwamba wao ni serikali omba omba
 
Jamani, humu JF hakuna utaratibu? Kila mtu anaanzisha uzi wenye mada ile ile. Nadhani ni vema kupitia "New posts" kabla hujatunga uzi mwingine!

utaratibu upo......mada moja yenye statements zaidi ya moja na utofauti wa statements ndiyo upya wa content ya mada na hivyo usikubabaishe mfanano wa heads of subjects.

chai ni sukari....I was born with it, how should I leave it to you?
 
Cdm is clean. Labda kama wamepewa msaada wa watz wenyewe. Na msaada wenyewe ni kukubali ukweli wa cdm! Ningeomba Mnyika waongeze iwe kesi ya madai na itaje kiasi icho icho alichotaja Sophia Simba bil.20 kama fidia ya image ya chama,nadhani hapa Marando, Lissu na akina mh.Albert Msando watalisikia ombi langu. Nawasilisha.
Trust yangu kwa niliyemwekea bold inazidi kupungua kadili ninavyoendelea kumjua.
 
Huyu mama kweli sharobaro, yeye kakaa kwenye vikao huko kasikia akina membe wanapika majungu yeye anakuja kuropoka hadharani.

Hivi hana watoto waliosoma kuweza kutembelea JF ili wawe wanamuonya mama yao asiropoke kama baamedi?
 
atajuta...

kila kitu kipo kuanzia human resource mpaka financial resource.

wabunge 80*90, 000 000 = 7,200,000,000

plus 20 000 000 000 alizosema chadema tumepewa.

plus support ya waTZ.

kama ana mimba 'itatoka'

Mimba? Teh teh!
 
Kauli za viongozi wetu wakati mwingine zinakuacha mdomo wazi. Tunajua viongozi wengi si weledi kihivyo kwani wengi tunajua hata hayo ma Masters na ma PhD ya kuokotezaga tu. Lakini kinachokuacha mdomo wazi ni kuona kiwango chao cha 'sensitivity' hasa katika kutumia midomo yao. Hili ndo linafanya mtu ujiulize hivi kweli hali ni mbaya kiasi hicho?

Kauli ya Sofia Simba ilikuwa kauli nzito sana, na kwa wenzetu wanaoheshimu kauli za viongozi kauli ile ni 'tragedy'. Yaani kuwa balozi za nchi zinasaidia Chadema kuleta vurugu Tanzania! Hivi jamani uongozi unapatianaje? Yaani siku hizi hakuna kabisa vetting, simply rais akiamua tu anaamua basi. Hakuna chombo chochote kinachomuambia kuwa mheshimiwa rais huyu hafai?

Nchi inayotegemea asilimia arobaini ya bajetu yenu kutoka kwa watu wengine lazima muwe waangalifu sana mnapotumia midomo yenu. Inawezekana lengo ni kukipaka matope chadema, lakini madhara mengine ya kauli kama hizi yameangaliwa?

Please JK, stand up, this level of mediocrity among your appointees is appalling!!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.

huyu mama hii nguvu ya kuropoka hivi sijui anaitoa wapi...huyu si ndiyo yule mama ambaye alisema kikwete ndiyo mwanaume pekee wa shoka bungeni na waheshimiwa wengine wakahoji; how is kikwete mwanaume wa shoka?............

usipomwamudu Mungu ni lazima unamwamudu shetani....I was born with it,how should I leave it to you?
 
John Mnyika ametangaza chama cha chadema kumshitaki Sophia Simba kwa kusema chama cha CHADEMA kinafadhiliwa na nchi za magharibi.
Source: Habari ya usiku ITV

Hili sahihi na muhimu. Ingekuwa ni Makamba au Chiligati wameongea hivyo angalau ingeweza kueleweka kwamba ni siasa lakini inapotokea mawaziri wa serikali iliyoko madarakani wanatoa madai hayo basi hilo ni jambo zito; halistahili kufumbiwa macho. Lakini huwa najiuliza inakuwaje serikali hii watu (namaanisha mawaziri na watendaji wakuu) wanafanya kazi na kutoa taarifa kwa mfumo wa MIPASHO. Hivi serikali haikutakiwa kufanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki badala la ya mipasho ya akina Membe - tena waziri wa mambo ya nje? Hii kwa kweli ni aibu ya taifa.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.

Hili sahihi na muhimu. Ingekuwa ni Makamba au Chiligati wameongea hivyo angalau ingeweza kueleweka kwamba ni siasa lakini inapotokea mawaziri wa serikali iliyoko madarakani wanatoa madai hayo basi hilo ni jambo zito; halistahili kufumbiwa macho. Lakini huwa najiuliza inakuwaje serikali hii watu (namaanisha mawaziri na watendaji wakuu) wanafanya kazi na kutoa taarifa kwa mfumo wa MIPASHO. Hivi serikali haikutakiwa kufanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki badala la ya mipasho ya akina Membe - tena waziri wa mambo ya nje? Hii kwa kweli ni aibu ya taifa.
 
GOOD, wakati watakuwa wana hangaika na MABERE MARANDO mahakamani sisi na makamanda wengine tutakuwa tunakata mbuga tunaandamana na ikiwezekana jangwanai ikawa hariri squre , tukienda jangwani tunaweza tusitoke mpaka magogoni pawe peupe

wasiwe watu wa kukurupuka umemsikia makamba amesema chochote?? ameanza kuwa na busara wasije wakasema ni yeye ndiyo ameua CCM, kumbe ni memebe na sofia simba
Bravo MNYIKA na chadema kwa ujumla
 
Huyu mama kweli sharobaro, yeye kakaa kwenye vikao huko kasikia akina membe wanapika majungu yeye anakuja kuropoka hadharani.

Hivi hana watoto waliosoma kuweza kutembelea JF ili wawe wanamuonya mama yao asiropoke kama baamedi?

hahahahaaaaa
 
Back
Top Bottom