J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani

Hakuna lolote hapo Tisha toto hizo.

Kwani ukweli umedhihiri, msituletee fujo hapa nchini
Ukweli gani unautaka
Baada ya Marando kusoma mashitaka, ataulizwa

Hakimu= Ulisema au hukusema ndiyo au hapana
Simba= NDIYO nilisema
Hakimu= Hebu tukumbushe CDM walipewa sh. ngapi
Simba= Bil. 20
Hakimu=Hizo balozi na nchi zao zilizotoa hizo bil.20 unazifahamu
Simba= a-e-i.......
Hakimu= Nasema tuambie hizo ni balozi gani
Simba= Unajua ndugu Hakimu hata Mh. Membe analisema na analijua hili
Hakimu= Nakuuliza wewe, kwani wakati unatamka ulitumwa na Membe
Simba= Hapana hakunituma ila anaweza kuja kunisaidia kuzitaja maana ziko tano
Hakimu= Jisaidie mwenyewe na yeye ana kesi yake
Hakimu= Mh. Simba una kesi ya kujibu, mwendesha mashitaka andaa kesi na siku ya kusikilizwa, Koooooooorti.
 
Mnyika,

Acha kuuhadaa umma. kama mmekusudia kwenda mahakama mnasubiri nini mbona mnatia tisha toto hapo.

Kumbukeni Mama Soffia Simba ni mwanasheria pia kwa hiyo kila amnalolisema anafahamu vilivyo .

Enendeni Mahakamani mkavuliwe nguo.
Akiwa mwanasheria ndiyo hashitakiwi CCM kwa kujiridhisha hamjambo.
 
Wasiwasi wako nini kwani wewe ni ndiye Sophia?
Mnafikiri atawaomba msamaha nje ya mahakama.

Acheni ujinga kama imewachoma basi mahakama ipo wazi nendeni haraka. Acheni kutafuta umaarufu wa waandishi wa habari.

Mwanasheria Sofia Simba anawasubiri kwa hamu sana mahakamani kama nyie ni wanaume kweli kweli.
 
Mnafikiri atawaomba msamaha nje ya mahakama.

Acheni ujinga kama imewachoma basi mahakama ipo wazi nendeni haraka. Acheni kutafuta umaarufu wa waandishi wa habari.

Mwanasheria Sofia Simba anawasubiri kwa hamu sana mahakamani kama nyie ni wanaume kweli kweli.
Mmeanza kuja na gia za kuombana msamaha hakuna cha msamaha ni mahakamani tu mmezoea sana nyie.
 
Back
Top Bottom