J. Mnyika: Tunajiandaa kuwafikisha Membe na Simba Mahakamani

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimesema kitamshita waziri wa maendeleo ya jamii sophia simba kutokana na waziri huyo kudai kwamba CDM wanafadhiliwa na baadhi ya balozi ili kuleta vurugu. Hayo yamesemwa na john mnyika alipokuwa akiongea na wanahabari. Itv-habari.
 
John Mnyika ametangaza chama cha chadema kumshitaki Sophia Simba kwa kusema chama cha CHADEMA kinafadhiliwa na nchi za magharibi.
Source: Habari ya usiku ITV
 
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa Chadema amesema kuwa Kurugenzi ya sheria ya Chadema inapitia kauli ya Waziri Sofia Simba kuwa Chadema inafadhiliwa na mataifa ya nje kuleta machafuko nchini Tanzania.Mh Mnyika amesema kuwa Chadema itamchukulia hatua za kisheria Waziri Simba.

Wakati huo huo Mh.Mnyika amemtaka Waziri Membe ataje hizo balozi zinazofadhili hicho chama ili kuepusha matatizo ya kidiplomasia na ataje hicho chama ni chama gani
 
Mh.mbunge wa jimbo la ubungo kupitia Chadema anasema wapo kwenye maanda
lizi ya kuwapeleka mahakamani mh.Sophia simba na mh.B.Membe kwa maneno yao
ya kiuchonganishi na propaganda dhidi ya Chadema. Source ITV saa 2 usiku huu.
 
Sasa ngoma inogile, kidomodomo cha huyu mama sasa kitatulia tuli
 
atajuta...

kila kitu kipo kuanzia human resource mpaka financial resource.

wabunge 80*90, 000 000 = 7,200,000,000

plus 20 000 000 000 alizosema chadema tumepewa.

plus support ya waTZ.

kama ana mimba 'itatoka'
 
atajuta...

kila kitu kipo kuanzia human resource mpaka financial resource.

wabunge 80*90, 000 000 = 7,200,000,000

plus 20 000 000 000 alizosema chadema tumepewa.

plus support ya waTZ.

kama ana mimba 'itatoka'

kama ile ya arusha ya EL
 
Akishitakiwa labda atapunguza kiherehere chake, yeye na Membe wasifikiri hii kesi ni ya kumalizwa ndani tu inahusisha nchi zingine ambazo huwa ziko serious na mambo yao, Go Chadema mmewaacha kwa muda mrefu sana.
 
Hata kama kuna tetesi vi vyema Serikali ingefanya tafiti na kutoa taarifa kamili kuliko haya matamshi.
Enzi za mwalimu mambo yalikuwa Kimya kimya







JK usimwache kia mtu aseme badala yako tutakufa watanzania tusio na hatia
 
Hawajasema kama watamshitaki membe kwa kuwa hakukitaja chama cha chadema ila wamemtaka aseme ni chama gani na kinafadhiliwa na nani.
 
Back
Top Bottom