Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 99
Rais wangu JK alikwishaulizwa na chombo kimoja cha habari cha kimataifa kuwa mgao wa umeme Tanzania kwa nini? akasema ni sababu ya ukame na serikali yake sio Mungu kuamulisha mvua ianze kunyesha. Na sasa suala la mgomo wa mafuta akiulizwa anaweza kusema linasaidia kuondoa foleni barabarani kwa sababu watanzania tuna laumu foleni kubwa barabarani hasa miji mikubwa.....hahaha