Itel na teknolojia ya OTG, sijawahi kuiona

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
218
297
Wadau nimedokoa sehemu nimeona niwashirikishe na nyie, nimeona simu mpya kutoka Itel inaitwa it1556 ina teknolojia ya kuchajisha simu nyingine yaani OTG yaani ni USB inayounganishwa na kwenye simu hii na kuichaji nyingine. Kwa ufupi ni kama "Power Bank" au tuseme ina Power Bank function.
OTG.jpg
 
akuna Cha Ajabu apo... Otg ni aina ya Usb Cable... Zpo OTG aina tofaut ZZpo znazoweza kukusaidia ku plug in usb au pad au keyboard kwenye simu
 
Back
Top Bottom