Internet ya bure

KUNA WATU(IT's) WANASWAP LINE NA MODERM,NAFIKIRI NDO ANACHOULIZIA

teheee WATU WANAPENDA DEZO,hiviiii SI UFISADI NAO?
 
Kazi kwelikweli,Eti internet ya bure kwenye simu na laptop?? Labda kakosea kuandika

Men u seriously dont belong in the science and Technology forum,and almost all who commented on this thread.First let me explain his question then i'll give him an answer cause not so long ago i too was after the same thing.Anataka kuju ni jinc gani anaweza kusurf bure kwa kutumia cm.vile vile kwa kutumia sim aunge kwa dial up connection kwenye laptop then a2mie bure through his mobile connection,right.Sasa how,it all lie in the proxy number.Remember this is hacking,no wait this is cracking and its not legal big time.Ila ni hivi nilipofuatilia nikagundua it all lies in the proxy number the number is in u'r 4ne.zipo proxy number ambazo ni kwa clients wengine ukizipata ukaziweka then its haleluya bure.Jinc ya kuzipata ndo nilikwama.u have 2 be a programer and hack the ISP,maybe lyk vodacom then collect all their proxies and try one by one.U can check out on google.'How to get free dial up internet connection.'CHEERS
 
Sasa kumzodoa kote uku ni juu ya nini, si mumfahamishe tu, kuwa hakuna Internet ya bure!
 
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?

ebu ona alivyouliza na ulivyojieleza ww na hapa akuna mnajimu wakujua unachowaza mtu akilini sisi tutakujibu kama unavyokuja alafu usilaumu watu kwani hili ni jukwaa huru unachangia kadri ya ufahamu wako au unachojua bila kumdharau mwenzako au kumtukana mwisho wa siku utajikuta unalolijua kuna anaelijua kuliko ww na unapata maarifa zaidi so changia
 
mkuu heshima mbele mbona ajazodolewa amafahamishwa na anaendelea kufahamishwa akuna internet ya bure ata ile ya bure anayowaza @good guy ameshamfafanue mengine unayoona ni majibu ya jumla hapa jamvini kwa kadri unavyoingia humu
 
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?

ebu ona alivyouliza na ulivyojieleza ww na hapa akuna mnajimu wakujua unachowaza mtu akilini sisi tutakujibu kama unavyokuja alafu usilaumu watu kwani hili ni jukwaa huru unachangia kadri ya ufahamu wako au unachojua bila kumdharau mwenzako au kumtukana mwisho wa siku utajikuta unalolijua kuna anaelijua kuliko ww na unapata maarifa zaidi so changia

Ndugu yangu hebu angalia m2 anavyojibu hivi kweli.c unaweza ukalog out mda huohuo
.
.
Huko tunakoelekea itabidi kabla huja join jf ulete cheti cha kuzaliwa tuhakiki umri wako.
vipi dogo upo std 7 au ndio unaanza form 1 mwakani?

.
Anyway kwa muuliza swali,hiyo ki2 ni next 2 impocble.Kwa nilivyokwambia hapo juu ni vigumu sababu hiyo kazi inazuiliwa na security sys zao.JUST QUIT OR U COULD DIE TRYING.Cheers
 
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?

Wabongo kwa kupenda vya bureeee!!!!!!!!!! Mko juuuu!!!!!!!!!!! Msikilize mwanamuziki huyu.

Last edited by a moderator:
Ndugu yangu hebu angalia m2 anavyojibu hivi kweli.c unaweza ukalog out mda huohuo
.
.

.
Anyway kwa muuliza swali,hiyo ki2 ni next 2 impocble.Kwa nilivyokwambia hapo juu ni vigumu sababu hiyo kazi inazuiliwa na security sys zao.JUST QUIT OR U COULD DIE TRYING.Cheers

umenena mkuu bigup haya sio mambo ya hadharani ni wizi wakijinga ukienda kuiba alafu unamwambia ulomuibia jinsi ulivyomuibia wakati alikuwa ajui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom