Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
Wakuu vp nisaidieni jinsi gani ku-setting up intaneti ya bure kwenye simu na laptop?
Una umri gani?
vodacom kusuffer facebook na grid ndo bure
Namuuliza umri maana 'free internet' inagawiwa kulingana na umri! ^_*point
ila yy anasema net ya bure kabisa cjui kama halimashauri yake ya kichwa ipo sawa
Au uonyeshe KADI YA KLINIKI!...lol!)Jamani inawezekana mdau anamaanisha Chandarua.
Serikali inatoa vyandarua vya bure ila hadi ujiandikishe.
Jamani inawezekana mdau anamaanisha Chandarua.
Serikali inatoa vyandarua vya bure ila hadi ujiandikishe.
Una umri gani?
Kazi kwelikweli,Eti internet ya bure kwenye simu na laptop?? Labda kakosea kuandika
Dr phone umri culz hapa mie. Kuna jamaa m1 kaniambia ukiweka confir ya voda intanet na ubadl line ya zain hapo ndo utaona bure.
Huko tunakoelekea itabidi kabla huja join jf ulete cheti cha kuzaliwa tuhakiki umri wako.
vipi dogo upo std 7 au ndio unaanza form 1 mwakani?