Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,579
- 1,080
Kwakweli Majibu ya Hapo Juu si ya kiungwana Kabisa....... Sasa mnataka mtu aje kuuliza swali wakati anajua jibu..... Halafu swali la umri hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa...... now back to the point Mzux D wewe ni mgeni jamvini usije ukadhani watu wote humu jamvini wako hivi... karibu sana....... kujibu swali lako ni kweli unaweza kutumia simu yako kama modem kwahiyo kupata uwezo wa kutumia kwenye laptop au desktop kwa kutumia USB..... now kuhusu charges itategeme mambo mawili; kwanza inabidi mtandao unaokusupply uwe na offer ya bure (kama kipindi kile cha ramadhani zain walikuwa na offer ya internet bure usiku) ya pili ni njia ya wizi (hacking) ambayo hii sikushauri...... lakini itakuwa cheaper ununue USB modem ambazo sasa si bei ya juu mfano unaweza ukapata package ya 2gb zantel au 3gb zain kwa wiki kwa alfu 10,000 which is cheap.... kutumia simu yako kama modem ni very expensive kwakuwa information kwenye simu (upload/download) ni ndogo ukilinganisha kwenye pc.... kama bado una swali PM me we are here to help each other thanks
Unachekesha Eti" hivi mnajua statistically vijana wadogo wanajua zaidi kuhusu technology kuliko wakubwa......mmmmh! Mbona haiclick kwenye ubongo wangu?? Naomba utufafanulie wanaJF