Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 71
Anatafuta umaarufu wa kisiasa ili Jk akaone one, Juzi kati kakihojiwa Sumbawanga tv live kalinibore sana kalivoanza kupiga proganda za kisiasa, kanaulizwa kanaonaje kuhusu mchakato wa katiba, badala ya kujibu hoja kakajaa upepo na kuwagekia CDM oh mara wahuni, wanamambo ya kitoto!!!, hafu kanajifanya kajuaji sana, kimsingi manyanya ni mnafiki sana hakafai aisee! Kuhusu tukio zima unalokomaa nalo nasema kwangu mimi is an issue kwangu kwa nimjuavyo Manyanya majibu yangu yale yale ni kanafiki sana
Huwa hakana hoja haka kamama, halaf sijui kwanini waandaaji wa mijadala kupitia TV wasimuweke siku moja na Mdee, Mnyika au Lissu, lazima atatoa machozi.