Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,080
- 32,529
Masharti yake ni madogomadogo kwa kipindi cha wiki moja tangu kuzindikwa.Masharti yake yakoje, Kama hutojali?
Kwenye family yako yupo/wapo waliofanyiwa?
Nimependa kwa kweli. Heshima kwao wazee!
🙌
Kila koo ina mizimu ya kukuongoza na masharti yake
Kwenye familia yetu sijajua maana huenda kuna mtu anaenda kisirisiri, ila kwenye ukoo wetu, wapo wengi sana, Sisi Wafipa, utatuambia nini kwenye haya masuala?
Sema koo zetu zimesambaa wengine wako Kaliua Tabora, kuna walioko Milala, Sumbawanga mjini, Tanganyika huko, Kigamboni na Mpimbwe.
Japo nina wajomba zangu wako kijijini Chipu....unapajua?, uliza kwa watu.
Mie hata sasa nikitaka kuwa mchawi inawezekana, uchawi wetu uko malangoni.
Hapa kwa Wafipa nazungumzia upande wa mama
Baba ni kule Tanga...