Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Wakuu
mimi nataka kufanya transfer kutoka udom kwenda NIT je kwa sasa nimechelewa
Pia kwa anaejua kuhusu private candidate mana nimeskia ukiomba kama private candidate unapata chuo chochote haijalishi.
Mwenye uelewa kidogo anifahamishe tafadhari

Sijapata msaada ndugu zangu.
 
Lyk umechelewa mkuu so cjui lakini nenda NIT check kama nafasi zipo waki kwambia zipo watakupa barua utaipeleka tcu pale tcu watakwambia ukalipie 30 thou ukilipia basi watakamilisha uhamisho wako

Dah asante sana mkuu
 
Mimi nimepangiwa chuo ambacho mwisho wa kulipa direct cost ni tarehe 15! Tatizo ni kwamba hichi kiasi bado Sina labda mpaka tr. 17 hivi! Je, nitakubaliwa?
 
Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.
 
Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.

Hv mkuu unafikiri ofisi za tcu zipo kila mkoa? No way out lazima watu waulize hapa so hata ww unahusika katika msaada wako..!! Fanya kitu mkuu
 
Hv mkuu unafikiri ofisi za tcu zipo kila mkoa? No way out lazima watu waulize hapa so hata ww unahusika katika msaada wako..!! Fanya kitu mkuu

wise idea thumb up..kama uko mikoani cha kufanya visit jf/jukwaa la elimu frequently utapata updates..!
 
jaman hiz transfer inakuaje mbna tmewekwa njiapanda!!!!!! kfanya registration sehem ulopangiwa mwanzo mtu unaogopa usije ukapoteza hela then ukaja ukaambiwa umehamishwa hela ikawa imeliwa... hapa nipo njiapanda kabsaaaaaa''''''' kwa walioko dar tsaidien mfike kwny ofsi zao msikie wnasemaje
 
Wengine wanasema walienfa wakaambiwa leo na kuna wengine walienda wakaambiwa kesho sa cjui
 
leo kuna watu walikuwa tcu na waliambiwa watu wanao husika na admission wako kwenye kikao leo kwaiyo hai eleweki wana jadili nini na watatoa lini majibu yetu navyuo vingine wamesha anza kusoma kweliii hin nndio tzz
 
daaaaah TCU kuhux transfer cjui watatutakia nin coz mda unazd kuuenda ila naamin watafanya yao hiv karibun na mungu awatangulie
 
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo

Mkuu labda kama unazungumzia TCU ya Togo
 
Back
Top Bottom