Imagine JF tunakutana ukumbini!

Mimi nikimuona mdada ananiminyia jicho la kushoto na kutabasamu nitamjua ni Rose1980.
nikimwona mdada ameshika tama ni Lizzy.
 
Nitaangalia mwitikio wa dancing floor.nikiona watu wanakatika zinapopigwa
nyimbo za DDC MlimaniPark, OTTU, MATIMILA ; OSS, MADILU Nitajua kina Bala, REV: MASANILO, MS, FAIZA FOXY,
Chatu dume, Katavi.Dingiswayo, Cheusimangala,DECI:
 
maralia sugu angechezea kichapo sana kutoka kwa wanaharakati

Mimi nilidhani mngemuweka chini na kumuelimisha sera za chadema na kumjibu maswali yake yote paleple ... sidhani kumkamata na kumpiga itakuwa sahihi mtaonekana kama kundi la wahuni...

anyways iam sure hayo ni mawzo yako peke yako si ya wanaojiita wanaharakati wote
 
Mimi nilidhani mngemuweka chini na kumuelimisha sera za chadema na kumjibu maswali yake yote paleple ... sidhani kumkamata na kumpiga itakuwa sahihi mtaonekana kama kundi la wahuni...anyways iam sure hayo ni mawzo yako peke yako si ya wanaojiita wanaharakati wote
Mkuu it's obvious hujawahi jadili mada na huyu jamaa ili umuelimishe,unaweza ukabomoa likibodi kwa hasira maana jamaa huwa haelewi,ndo maana jamaa hapo anakwambia huyu ungekuta kachezea kichapo zamani sana,teh
 
Mi nikimuona mtu kavaa nguo za kiuchungaji huku mkononi ameshika chupa ya Bia nitajua mara moja kuwa ni Alwatani Rev.com Fr Masanilo...
Nikiona Mchalii ametulizana kimya na kila akiongea anavunja watu mbavu mara moja nitakuwa nimemtambua Yo Yo..

Bado sijawapatia picha Paka Jimmy, Saint Ivuga, Miss Judith, Rose1980 na Nyani Ngabu...
 
mimi nikimwona mtu amebana pembeni anakodolea macho wanawake wakitakiza huku mirindimo yao ikishake shake nitajua ni Fidel80
 
Malaria sugu yeye huvaa suruali fupi fupi na kikuku mguu wa kushoto!
Mm ningependa kuwaona how do they look pairs hizi za wanaJF: Malaria sugu na Chloroquine/Asprin, Kipindupindu na Sulphadoxine. Nahisi kuna jambo linawaunganisha medically
 
Back
Top Bottom