Imagine JF tunakutana ukumbini!

hahahahahahah lolNgoja nkamwite Lizzy dahhMie ntamtafuta mtu mwenye chaki mfukoni (Good Guy)swali lolote la ma Engineer anajibu( Good Guy)Physics, Maths inapanda mpaka kule ( Good Guy)hahahahahah lol
Hahahaha,now where did i put that calculator!xoxo denzi
 
Lizy nitamtambu kwa maneno ya shortcut,anapenda sn hizo aise!

Unanisingizia bwana!!!

Easy ntasimama katikati then nasema "free beers,free beers every one.."
the first to respond,you have got your Asprin!
Then i'd go to the door and scream "OMG JK is outside joining us today.."
'Viola' utampata Malaria bila wasi..lol
Then naangalia sehemu walipokaa wasichana naenda nawaambia "Hii hela nimeokota hapo ya nani?"
Mmoja hata kabla hajaiona utamsikia "leta hapa ya kwangu" mwingine atamsunta "wewe hela yako umeidondosha saa ngapi!" Umeshawapata Lizzy na Afrodenzi.lol

Hahahahahha.... ila bado sijajua nani atakaemshushua mwenzie????
 
maralia sugu angechezea kichapo sana kutoka kwa wanaharakati

Hahahahahahah lol! halafu mnakuja kuambiwa jamani huyo siyo Malaria sugu, malaria sugu huyu hapa! mtu kishapata ngeu lol!
 
Back
Top Bottom