.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.
THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.
i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!
pole na matatizo.
ushauri: usipoteze mwelekeo (don't panic) , kukumbana na vitabia vya ajabu ajabu kwa mwenza wako ni kitu cha kawaida na itachukua muda wa miaka kuviweka sawa, na jitahidi wewe kama mwanamme kuvikabili peke yako kadiri inavyowezekana bila kumshirikisha jamaa au rafiki, na pale itakapolazimika umshirikishe mtu ,basi mtahadharishe mwenza wako kwanza, kwamba kama hajajirekebisha basi utawashirikisha majamaa! ili ajue in advance ni nini kitatokea. Nadhani ile yeye kufuatwa na kaka yake bila kutegemea imempata bila kutarajia, hivyo na yeye hisia asizozitarajia zikamtawala.
na usione tabu kuomba msamaha pale ulipokosea kwani hii itamfunza yeye awe jasiri wa kukuomba msamaha kwa makosa yake pia.
quiet.