I'm going through hell!...should i keep going?

Chrispin mueleze shemejio G siri ya mafanikio.Mwenzio anaenda to hell wakati wewe kiulaini on your way to heaven!

Hehehehe! Japokuwa umeenda off point lakini nimekutwanga thanks. Mchumba una mambo wewe. Namshukuru sana Mungu kwa kutukutanisha!
 
Hahaha! Hope ziko kwenye hardcopy. Lazima ziwakilishwe physically. This time tukiwa na she's zetu. Sijui mpwa Fidel atakuja na wangapi? Hahaha! Leo maeneo ya kati TANESCO wameyatembelea, mpwa hayuko hewani!
halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basi
 
...Nikubali mwanamke anipe stress kisa ndoa? kama jamaa alimshauri wakae chini wayazungumze akaishia kumtusi na kumbeza kuwa mnafiki...Mnategemea nini? Eti ndoa? eti mapenzi...you people!!!

kaka/dada tulia tulia, sie tumeshafanikisha mambo huku wewe endelea kubwabwaja tu, unadhani ni hawara huyu? mrembo ni wa ndoa halali ya church/mckiti, huo ushauri wako kawape wanaotaka ku change hawara upo hapo?
 
SAMAHANI natoka off topic-mbona kila quote ya NYAMAYAO inatokea jina langu? mode rekebisheni.
 
halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basi
i think i know the semenya you guys are talking about, naona huku leo hajaja kuharibu huh.
 
pole sana kaka yote ni mapito tu
i think unahitaji sana kukae na mkeo atleast muongee
ukiona anazidi nenda kwa wazazi huku ukifanya uchunguzi ni kwa nini afanye hivyo, then jiangalie wewe mwenyewe ni wapi umefanya kosa
all the best brethren
God will make a way where seem to be no way

karibu jamvini poline..

Blessings
 
Pwa Crispin naona umesimama kidete kwenye maslahi ya ndoa ya dada yako, nimependa huu moyo wako hivi hauna hata ka cousin sister kengine ili yule anayeninyima access nimpige chini?

Hahahaha! Kule kwetu dada akipewa talaka ni nuksi. Najua Bwashee anavojua ku-care. Dadangu akimkosa huyu, nakuapia hatapata mwingine atakayemvurumushia malovee ya uhakika kama Bwashee. By the way, bado hujapewa pasiwedi na mchumba? Lol! Pole sana mpwa.
 
nyamayao,
it looks like you dn't know how much it means to be in love with someone YOU REALLY LOVE

wat do u mean? naelewa sana ndio mana ishu kama hii cdhani kama inaweza niharibia uhusiano wangu ndio mana na wewe nakuambia ucjali hivi ni vijimambo tu na ni vya mpito kabisa, vickupe presha! mbona ni mambo ya kuyaweka sawa? kama ungekuwa umepitia misuko suko na kina sie mawifi/ma mkwe cjui mazagazaga gani ndio hapo, hiyo ishu ya kupishana maneno kwangu mie naona ni mambo ya kuweka ishu mezani na kusawazisha....cjui kama umenipata au?
 
halafu kitu kingine?...(samahani wakuu naomba nichepuke kidogo tena)..!sasa semenya itakuwaje?maanake alisema anakuja.na hatujui kwa siku hiyo BUNDUKI GANI ITAKUWA INAFANYA KAZI?ili tumfanyie utaratibu wa bwana,au mrembo....!jaribu kum-piemu basi

Hahaha! Naogopa nisije nika fall in Love na Semenya!
 
Dada N ujue tunatofautiana.Si unajua ukipenda sana unaweza ambiwa umewekewa limbwata? Isitoshe Geoff ndoa bado ni changa,hivyo mambo kama hayo akifanyiwa na Mpenzi roho inauma sana.

nashukuru sana kwa kunielewa ZD, mie labda nimeshakomalia ndoa ndio mana naona hii ishu ni ya kuweka mezani na kuweka mambo sawa then maisha yanaendelea, nimekupata kipenzi.
 
wat do u mean? naelewa sana ndio mana ishu kama hii cdhani kama inaweza niharibia uhusiano wangu ndio mana na wewe nakuambia ucjali hivi ni vijimambo tu na ni vya mpito kabisa, vickupe presha! mbona ni mambo ya kuyaweka sawa? kama ungekuwa umepitia misuko suko na kina sie mawifi/ma mkwe cjui mazagazaga gani ndio hapo, hiyo ishu ya kupishana maneno kwangu mie naona ni mambo ya kuweka ishu mezani na kusawazisha....cjui kama umenipata au?
nimekupata mamaa!
pamoja sana
 
Kweli nimeamini watu wanakupenda sana Geof, yani sijui kwa kuwa ni mdau mkubwa wa hili jukwaa, maana thread inajump kweli halafu withinfew hours tu ulipokuja hapa hertbroken, sasa unacheka as if nothing happened na pia kwa maombi ya ZD, Chrisoin, Masanilo na bila shaka Semenya, bibie hasira kule imeshindwa kwa jina la aliye juu, na call za kumwaga. We suilibia kwa kupitia maua ya roses reeed pale mbuyuni on your way home na chupa ya champagne au wine aipendayo, fata huu ushauri then kesho leta feedback. All the best.
 
SAMAHANI natoka off topic-mbona kila quote ya NYAMAYAO inatokea jina langu? mode rekebisheni.

naona hili mpwa wangu linafanyiwa kazi!turudi kweje mada ya msingi mpwa!wewe umeoa kama mie na wengine wengi.....!KWANINI WAKE ZETU HUONYESHA MAKUCHA YAO HALISI WAKISHAWEKWA NDANI?
 
nimekupata mamaa!
pamoja sana

naomba niendelee kufanya kazi za watu nadhani sasa umeshapoa moyo, ckupenda nikuone unataabika, ukiwa unaenda home jioni mnunulie mrembo kazawadi fulani hivi, chochote kile ka kumliwaza, PALILIA PENZI LAKO BABY BOY MREMBO HAKUFANYII VISA WALA NINI MREMBO ANADEKA COZ ANAJUA ANA WA KUMBEMBELEZA, SASA KWANINI ACDEKE?....
 
kweli watu wanakupenda Geof, sijui kwa kuwa ni mdau mkubwa wa hili jukwaa, maana within few hours thread imejump hiyo kama semenya mwenyewe. Na kwa maombi ya Chris, ZD, na baba mchungaji masanilo, hasira za bibie kule zimeshindwa na kulegea na mwishowe kaishia kupiga simu mwenyewe, sasa wewe kaka, silibia kwa kupitia red roses pale na chupa ya champagne au wine aipendayo, jkesho utaleta feedback ya mkuluvu utakaopewa leo.
 
back to work sister!
I LOVE YOU!
 
naona hili mpwa wangu linafanyiwa kazi!turudi kweje mada ya msingi mpwa!wewe umeoa kama mie na wengine wengi.....!KWANINI WAKE ZETU HUONYESHA MAKUCHA YAO HALISI WAKISHAWEKWA NDANI?

ha ha ha si kweli! kuna msemo wa ki u know wora i mini....unasema FAMILIARITY BRINGS NO FEAR!
 
kweli watu wanakupenda Geof, sijui kwa kuwa ni mdau mkubwa wa hili jukwaa, maana within few hours thread imejump hiyo kama semenya mwenyewe. Na kwa maombi ya Chris, ZD, na baba mchungaji masanilo, hasira za bibie kule zimeshindwa na kulegea na mwishowe kaishia kupiga simu mwenyewe, sasa wewe kaka, silibia kwa kupitia red roses pale na chupa ya champagne au wine aipendayo, jkesho utaleta feedback ya mkuluvu utakaopewa leo.

HAHAHAHA!unajua nini,
kilio changu kimekuwa kilio cha wengi!wachungaji na mashemasi waliniunga mkono,MUNGU AMEINGILIA KATI!.......na huwezi amini,mambo ni bam bam!nawashukuruni sana na ninawapenda wooote!.....
 
wewe kijana hapa tunazungumzia ndoa sio u boyfrnd , hayo ya ukatili yametokea wapi? kipi cha ajabu alichofanyiwa G? hivi ni vijimambo vidogo vidogo sana vya ndoa kijana, na G bado hajafikia kuwashirikia hao wote unaowasemelea, amshirikishe Mungu wake.....
haya ni mawazo yangu kama unaona hayakufahi huna haja ya kusoma, na yeye ndio mwamuzi wa mwisho. Sasa kama kalileta hapa kwa watu asio wajua atashindwa kuwaambia ndugu zake, mbona shemeji yake kamweleza. Unataka mpaka liharibike halafu ndio akaseme, ni bora ukawahi kuchukua hatua kuliko kusubiri likufike na nijuavyo ndio mwanzo wa kuvunjika ndoa kwa hivyo unavyoona ni vidogo. Maana lililomo moyoni kwa mwenzako hujui anawaza nini. Akili kumtwe mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom