I'm going through hell!...should i keep going?

...Punda haendi sharti kwa viboko mkuu!! Ukimchekea nyani utavuna mabua!![/QUOT

Na wewe unaongea hivi probably hujui maana ya ndoa, mke hafukuzwi au kupigwa kisa kanuna babu, kama mkeo wamuona kama punda thats your problem, i belive G married a beautiful woman who is inteligent and she knows what she is doing.

Thanks! Thanks! Carmel, u always give good advice! natamani maneno yako yawe pia kwenye matendo yako. Achana na hao wanaomndanya mpwa atoke mnje sio dawa....
 
bwa-shee huku naona mambo yameanza kuwa bam-bam!she is calling me again and again....!lol
Thank God! I can now sense happiness in your soul.
AAh men, you cant live without us, and vise versa
 
bwa-shee huku naona mambo yameanza kuwa bam-bam!she is calling me again and again....!lol

See? I told you. Niko nachapa maombi na mchumba wangu ZD. Weekend mkienda Bagamoyo kutekeleza ushauri wa Binamu Nguli, don't hasitate kuweka kituo maeneo ya Boko. You and sis need my blessings. You kno wora i mean? (quote from Nguli's best friend)
 
Pole is she your wife? Kama siyo wife fukuza haraka. Kama ni wife anza kumpiga makofi apate akili. Inavyoonyesha anafanya makusudi uamue kuachana nae kitu ambacho yeye anakiona ni kheri

Ikiendelea na evidence zipo, basi mpe talaka yake aende kwao akatafute ataakokuwa anawafanyai huo ubwege wake, kama ni rafiki wa kike huyo mwache haina madhara kabisa.

yaani Caroline inaelekea hujaolewa wewe, haya mambo mbona ya kawaida kabisa kwenye ndoa...talaka haitolewi kwenye mambo kama haya na mwanaume kupiga mkewe ni u coward tu, Geoff ukimsikiliza Carol kitumbua chako kitaingia mchanga sasa hivi
 
bwa-shee huku naona mambo yameanza kuwa bam-bam!she is calling me again and again....!lol

haaa happy for u baby boy, haya ndio mambo tunayotaka kuyackia, sio watu watibuke waliko waje na ishu zao za kushoto kushoto hapa, wanadhani kupenda/kupendwa mchezo, mtu hawezi acha apendacho/kimpacho raha maishani kwa vitu vicvyo na kichwa wala mguu, enjoy maisha na mrembo wako baby huyo ndio chaguo lako.
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

Geoff,

Hiyo siyo hell bana... waulize wengine, hiyo ni chachandu tu!!!
 
haaa happy for u baby boy, haya ndio mambo tunayotaka kuyackia, sio watu watibuke waliko waje na ishu zao za kushoto kushoto hapa, wanadhani kupenda/kupendwa mchezo, mtu hawezi acha apendacho/kimpacho raha maishani kwa vitu vicvyo na kichwa wala mguu, enjoy maisha na mrembo wako baby huyo ndio chaguo lako.

Kila napotaka kukutwanga thanks, kale kadude kanapotea. Ngoja nikutwangie kwa hapa. THANKS!
 
See? I told you. Niko nachapa maombi na mchumba wangu ZD. Weekend mkienda Bagamoyo kutekeleza ushauri wa Binamu Nguli, don't hasitate kuweka kituo maeneo ya Boko. You and sis need my blessings. You kno wora i mean? (quote from Nguli's best friend)

ahahahahahahahah!

got it right!certainly zanzibar by saturday evening.au huko huko bagamoyo!itategemea na mood yake kwa siku hiyo.

nb:minutes za kikao kilichopita zipo tayari,nitazituma vipi?(samahani kwa kuchepuka kidogo nje)
 
pole sana kaka yote ni mapito tu
i think unahitaji sana kukae na mkeo atleast muongee
ukiona anazidi nenda kwa wazazi huku ukifanya uchunguzi ni kwa nini afanye hivyo, then jiangalie wewe mwenyewe ni wapi umefanya kosa
all the best brethren
God will make a way where seem to be no way
 
Thanks! Thanks! Carmel, u always give good advice! natamani maneno yako yawe pia kwenye matendo yako. Achana na hao wanaomndanya mpwa atoke mnje sio dawa....
...Nikubali mwanamke anipe stress kisa ndoa? kama jamaa alimshauri wakae chini wayazungumze akaishia kumtusi na kumbeza kuwa mnafiki...Mnategemea nini? Eti ndoa? eti mapenzi...you people!!!
 
Geoff,

Hiyo siyo hell bana... waulize wengine, hiyo ni chachandu tu!!!

thnx so much ma bro kwa uelewa wako, ndio hapa nasema mie cjaona ishu hapa hivi mie naviitaga vijimambo vijimambo tu.
 
thnx so much ma bro kwa uelewa wako, ndio hapa nasema mie cjaona ishu hapa hivi mie naviitaga vijimambo vijimambo tu.
nyamayao,
it looks like you dn't know how much it means to be in love with someone YOU REALLY LOVE
 
nb:minutes za kikao kilichopita zipo tayari,nitazituma vipi?(samahani kwa kuchepuka kidogo nje)

Hahaha! Hope ziko kwenye hardcopy. Lazima ziwakilishwe physically. This time tukiwa na she's zetu. Sijui mpwa Fidel atakuja na wangapi? Hahaha! Leo maeneo ya kati TANESCO wameyatembelea, mpwa hayuko hewani!
 
thnx so much ma bro kwa uelewa wako, ndio hapa nasema mie cjaona ishu hapa hivi mie naviitaga vijimambo vijimambo tu.
Dada N ujue tunatofautiana.Si unajua ukipenda sana unaweza ambiwa umewekewa limbwata? Isitoshe Geoff ndoa bado ni changa,hivyo mambo kama hayo akifanyiwa na Mpenzi roho inauma sana.
 
Pwa Crispin naona umesimama kidete kwenye maslahi ya ndoa ya dada yako, nimependa huu moyo wako hivi hauna hata ka cousin sister kengine ili yule anayeninyima access nimpige chini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom