I'm going through hell!...should i keep going?

.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

pole na matatizo.

ushauri: usipoteze mwelekeo (don't panic) , kukumbana na vitabia vya ajabu ajabu kwa mwenza wako ni kitu cha kawaida na itachukua muda wa miaka kuviweka sawa, na jitahidi wewe kama mwanamme kuvikabili peke yako kadiri inavyowezekana bila kumshirikisha jamaa au rafiki, na pale itakapolazimika umshirikishe mtu ,basi mtahadharishe mwenza wako kwanza, kwamba kama hajajirekebisha basi utawashirikisha majamaa! ili ajue in advance ni nini kitatokea. Nadhani ile yeye kufuatwa na kaka yake bila kutegemea imempata bila kutarajia, hivyo na yeye hisia asizozitarajia zikamtawala.
na usione tabu kuomba msamaha pale ulipokosea kwani hii itamfunza yeye awe jasiri wa kukuomba msamaha kwa makosa yake pia.

quiet.
 
Kabisa! mpe time...fwata ushauri wangu wa mwanzo....tokeni out sehemu kuliko tulia zungumzeni tofauti zenu....ungempata kama Mrs Mtaba nafikiri tukutuku ungekuwa ushaiingiza mtoni...kwa stress

ahahahahahahah!umeme umekatika mnazi mmoja!mpwa fidel ikiiona hii atacheka sana.aliwahi kusema hivi hivi
 
mmhh jamani, talaka? kwa lipi mrembo wa watu alilolifanya mpaka astahili talaka? hivi watu mnasema tu, mbona mie sioni ishu kubwa kwa mrembo wa G hapa jamani, nadhani ni vitofauti vilivyopo maishani tu, G naomba ucpate wazo la kufikiria labda mrembo anakufanyia haya coz unasaidiwa cjui nini na nini, muweke karibu kipenzi chako, ongea nae kama ifuatavyo, mitoko kwa wingi, mrembo ni hacra tu kwasasa hana kingine mbona kakucal muda cmrefu kuhusu ishu ya pete? watu wanadhani ndoa ni kwaya leo umeingia kesho unatoka... NYIE MNAPENDANA NA MUENDELEEE KUPENDA TOFAUTI ZIPO NI ZAKUWEKWA SAWA TU....GOODLUCK BABY BOY.
 
naunga mkono hoja. hapa jamvini kuna watu wengine ukiskiliza mawazo yao unaweza ukaowa breakfast na ukatoa talaka dinner . teh teh
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!
...Kuwa mjeuri zaidi yake x2...usimsemeshe, wala kumgusa, rudi home usiku mkubwa!!! atarudi huyo na mtaongea tu masuala yenu!!! Dawa ya mto ni moto!!!
 
mmhh jamani, talaka? kwa lipi mrembo wa watu alilolifanya mpaka astahili talaka? hivi watu mnasema tu, mbona mie sioni ishu kubwa kwa mrembo wa G hapa jamani, nadhani ni vitofauti vilivyopo maishani tu, G naomba ucpate wazo la kufikiria labda mrembo anakufanyia haya coz unasaidiwa cjui nini na nini, muweke karibu kipenzi chako, ongea nae kama ifuatavyo, mitoko kwa wingi, mrembo ni hacra tu kwasasa hana kingine mbona kakucal muda cmrefu kuhusu ishu ya pete? watu wanadhani ndoa ni kwaya leo umeingia kesho unatoka... NYIE MNAPENDANA NA MUENDELEEE KUPENDA TOFAUTI ZIPO NI ZAKUWEKWA SAWA TU....GOODLUCK BABY BOY.

halla baibe!nimegonga kitufe cha thenksi,UMEONA?
 
...Kuwa mjeuri zaidi yake x2...usimsemeshe, wala kumgusa, rudi home usiku mkubwa!!! atarudi huyo na mtaongea tu masuala yenu!!! Dawa ya mto ni moto!!!
no!
when it comes to my wife...!I AM VERY SERIOUS.ikumbukwe kwamba i have invested everything to this relation for the past seven yrs.i can't just do this guys!lol
 
...Kuwa mjeuri zaidi yake x2...usimsemeshe, wala kumgusa, rudi home usiku mkubwa!!! atarudi huyo na mtaongea tu masuala yenu!!! Dawa ya mto ni moto!!!
Dont buy this Geof, hutajenga bali utabomoa.
 
Pole is she your wife? Kama siyo wife fukuza haraka. Kama ni wife anza kumpiga makofi apate akili. Inavyoonyesha anafanya makusudi uamue kuachana nae kitu ambacho yeye anakiona ni kheri

Ikiendelea na evidence zipo, basi mpe talaka yake aende kwao akatafute ataakokuwa anawafanyai huo ubwege wake, kama ni rafiki wa kike huyo mwache haina madhara kabisa.
Kufukuza huwa hakusaidii, you face your life challenges head on, ukikimbia tatizo you will be a coward, and all this time i believe you are a really man.
huyu anashauri hivi probably hajaolewa, wote wangekuwa wanafukuzana na kupeana talaka kwa vijimambo vidogo hivi ndoa zingekuwepo?
 
carmel and nyamayao,
i will neva go through laligeni's advise!you ladies know what it means mwanaume akisema ameinvest FEELINGS FOR SEVEN YEARS,don't you?
 
...Punda haendi sharti kwa viboko mkuu!! Ukimchekea nyani utavuna mabua!![/QUOT

Na wewe unaongea hivi probably hujui maana ya ndoa, mke hafukuzwi au kupigwa kisa kanuna babu, kama mkeo wamuona kama punda thats your problem, i belive G married a beautiful woman who is inteligent and she knows what she is doing.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom