Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
hapo geoff lazima pia ufikirie na factor ya "uwanafunzi".
ile kuwa mwanafunzi tu tayari inakupa "jeuri" ya kivyengine, unaona life is easy sijui niseme, unajiona bado uko katika HIGH TIMe yako, .....nk
mie kwa nafsi yangu niliolewa nikiwa "mwanafunzi". nilikuwa bado namtreat mume wangu kaa mshkaji tu na akiniudhi nambomoa huko (japo kuwa nilikuwa older kwa huyo wako na nilikuwa nimeajiriwa chuoni)
nilipomaliza shule tu, nilijikuta nakuwa more responsible, nampa respect yake anayostahiki, namstahamilia sana
so kubali ulezi kaka......usikasirike mno....wanawake ndo tulivyo