Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

Hata kama hawaja sign, ukweli unabakia palepale wameshakopa benki na posho ndo dhamana ya mikopo waliyochukua, labda tuseme kupinga posho kwa siku za usoni.Kwani TBC ilikuwa live Mh. Lukuvi akalijuza taifa waheshmiwa wamekopeshwa izo pesa za vikao.

We ndo kilaza kweli!!!
Unajua taratibu za Bank kupata mkopo wewe?
 
wala haijalishi hata wakifanyaje CCM tumeichoka na they have to go now
 
Peleka huko umbea wako,hakuna connection hapa ya bunge,ikulu na CDM! Umbea umbea na kujitafutia umaarufu kijinga
 
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.Taarifa hiyo imetolewa baada ya Ikulu kulitaka Bunge liwapelekee mahudhurio ya wabunge wote waliosaini kwenye orodha ya mahudhurio na imetumika hiyo kwa kuangalia ni wabunge gani wa CHADEMA waliweza kushiriki kwenye vikao na hivyo kusema kuwa ni orodha ya kupokea posho.
posho.png
Habari hiyo itakuwa ndiyo front page kwenye magazeti mbalimbali kesho na lengo ni kuhakikisha kuwa walau wanapumua ili suala la posho wananchi waone kuwa limekigawa CHADEMA kati ya wabunge wake.Naomba kuishia hapo kwa sasa kwani ndio tunakimbizana na deadline, ntarejea baadae kuwajuza na nikiweza nitaiscan taarifa hiyo na kuiweka hapa jamvini.
Huu ni mkakati mchafu unaoandaliwa na serikali ya ccm,chochote ccm ifanyacho inajidanganya watanzania wanaelewa kila kitu, ccm wangeangalia jinsi ya kutatua matatizo ya watanzania nasio CHADEMA
 
Wameshikwa pabaya ukitaka kuthibitisha hili rejea mazungumzo ya pinda msanii wa pili pale bungeni alivyoitetea hiyo posho na kudai eti haitoshi na kuongea upuuzi tu,hawa wamechoka wanachofanya ni ushabiki bungeni lakini acha tusubiri.
 
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya Ikulu kulitaka Bunge liwapelekee mahudhurio ya wabunge wote waliosaini kwenye orodha ya mahudhurio na imetumika hiyo kwa kuangalia ni wabunge gani wa CHADEMA waliweza kushiriki kwenye vikao na hivyo kusema kuwa ni orodha ya kupokea posho.

posho.png


Habari hiyo itakuwa ndiyo front page kwenye magazeti mbalimbali kesho na lengo ni kuhakikisha kuwa walau wanapumua ili suala la posho wananchi waone kuwa limekigawa CHADEMA kati ya wabunge wake.

Naomba kuishia hapo kwa sasa kwani ndio tunakimbizana na deadline, ntarejea baadae kuwajuza na nikiweza nitaiscan taarifa hiyo na kuiweka hapa jamvini.

Craap , umbea peleka kwa shigongo. Mbona kwenye magazeti yote ya leo hakuna ? JF YAGEUKA JUKWAA LA WAMBEYA !
 
Naomba Jk athubutu tu kumfukuza Lowassa ili tujue wapi aliko Daudi Balali
 
......................
Matusi meengi halafu eeeeti na wewe ni kiongozi wa chama cha magamba!
Ndo hapo naona ccm imekwisha!
Kama mimi ningekuwa Magamba ningefurahi kweli kwa sababu badget imegoma na wapinzani wanataka kukuongezea pesa ili utekeleze ahadi
 
Mh jamani kwa tusio Tanzania kama kweli habari hii ambayo tumeipata jana imetoka leo huko Tanzania kwenye baadhi ya magazeti basi kazi tunayo! na itafanya magazeti ynayotoa habari kama hizi nisiziamini tena! na kama ni hivyo basi Ikulu inahitaji nidhamu na metengenezo ya ajabu kabisa!
 
Craap , umbea peleka kwa shigongo. Mbona kwenye magazeti yote ya leo hakuna ? JF YAGEUKA JUKWAA LA WAMBEYA !
Taratibu mkuu, hii habari ndiyo inayouza gazeti la "Jambo leo" chapisho la leo, litafute utaiona unaposema JF ni jukwaa la wambea kumbe ni wewe ambaye hukuiona hii habari unajishushia credibility yako
 
Back
Top Bottom