DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,582
- 17,686
Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa tuna tumia pesa nyingi kulipa mishahara?
Ilinichukua Muda kutafakari Sana kwani kwani katika watu ninaowaamini Katika chama hicho ni Mnyika..
Lakini huu hapa ndo.ukweli..
Chadema wametoa hoja Yao katika Rasimu ya Waryoba ya katiba Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Ibara ya 113 ya Katiba hiyo ntainukuu..
113 (2)(a)Wabunge sabini wa kuchaguliwa kupitia majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi, hamsini kutoka Tanganyika na ishirini kutoka Zanzibar; na
(b) Wabunge watano wenye ulemavu watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa za kuchaguliwa kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwakilishi wa Nchi Washirika na jinsi.
(3) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili a mwanamme
(4) Wabunge kutoka kila Jimbo la Uchaguzi watpatikana kwa kupigiwa kura na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na sheria inayoweka utaratibu kuhusu mambo ya uchaguzi."
Sasa kwa mchanganuo huo anamaanisha kwanza
Tofauti na Sasa wabunge 393
ni sawa na Punguzo la wabunge 243
Hakika amefikiri vizuri sana
kama kila mbunge hulipwa posho na mshahara wa Jumla ya 10 milion kila mwezi
243X 10,000,000/= 2,430,000,000/=
itasaidia kupunguza Matumizi ya Bilion 2 na 430 Milion kwa mwezi..
Hivyo inaweza kusaidia kuongeza Pato la taifa na kulipa wafanyakazi wengine wa serikali..
Hata hivyo pia itasaidia kupunguza gharama za Uchaguzi..
Hakika amefikiri Sana Sikujua hili kama nilimtukana Nisamehewe..
Lucas mwashambwa Erythrocyte johnthebaptist

- kupunguza Majimbo kifikia 50 Tanzania Bara (Tanganyika) na 20 Zanzibar jumla Majimbo Tanzania yatakuwa 70 (Tofauti na sasa Yapo majimbo 214 Tanzania Bara na 50 Visiwani zanzibar
- Wabunge watano wa Kuteuliwa na Rais
- na kila Jimbo kuwa na Nafasi ya wabunge wa kike na Wakiume ili kuweka Gender Equality isiyo na mashaka yaani wote wachaguliwe na wananchi bila Kuchaguliwa na mtu..