Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

Sotori iko hivi ,

Mbowe, mkewe Slaa
wachukua posho Bunge

*Wabunge wao wagawanyika, 28 wasaini posho-
*Ubunge wa Zitto Kabwe sasa wawekwa rehani
*Ziara majimboni, maandamano yao katika hatihati

Na Mwandishi Wetu.

CCM bado imelala sijui itaamka lini! yani bado wanadhani watanzania wamelala kiasi hicho?!
 
CCM inakoroma usingizini jamani, hakuna Mtanzania mwenye akili yake timamu anaweza kuelewa huo upuuzi, sana sana watakuwa wamemdhalilisha Makinda kutumia ovyo nyaraka za Bunge kama karatasi za chooni!
 
Hata kama hawaja sign, ukweli unabakia palepale wameshakopa benki na posho ndo dhamana ya mikopo waliyochukua, labda tuseme kupinga posho kwa siku za usoni.Kwani TBC ilikuwa live Mh. Lukuvi akalijuza taifa waheshmiwa wamekopeshwa izo pesa za vikao.
 
Kweli they do not think, spika alisema usipohudhuria three days unafukuzwa, so wasihudhurie kisa posho?
 
Well.. Am not surprised!G. Bush did the same to silence the critics of war in Iraq and Afghanistan. He directed the intelligence agency to dig dirty(sex life, drinking etc) on the critics(Yahoo News-16.06.2011). That is what all govts do-play dirty.
 
nilichokiona ni sheet ya attendance,sio sheet ya confirmation of receipt of sitting allowance!they will waste so much print..
 
Hapa Ikulu inahusika vipi?sijashawishika na mwenye thread hii.Maake ata kiambatanisho hakionyeshi the presence of state house ama tunakubali tu kwa sababu mleta hoja amehisi na kutaje eti state house.Nitauchukua kama uzushi kwa sasa,na pengine kushawishika iwapo kutakuwa na addition information zenyekuhusisha moja kwa moja state kama mtu ama taasisi.
 
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya Ikulu kulitaka Bunge liwapelekee mahudhurio ya wabunge wote waliosaini kwenye orodha ya mahudhurio na imetumika hiyo kwa kuangalia ni wabunge gani wa CHADEMA waliweza kushiriki kwenye vikao na hivyo kusema kuwa ni orodha ya kupokea posho.

posho.png

Habari hiyo itakuwa ndiyo front page kwenye magazeti mbalimbali kesho na lengo ni kuhakikisha kuwa walau wanapumua ili suala la posho wananchi waone kuwa limekigawa CHADEMA kati ya wabunge wake.

Naomba kuishia hapo kwa sasa kwani ndio tunakimbizana na deadline, ntarejea baadae kuwajuza na nikiweza nitaiscan taarifa hiyo na kuiweka hapa jamvini.

Watu wanawezaje kuthibitisha kama hayo mahudhurio yalikuwa ni ya tarehe iliyoandikwa tena kwa mkono?
 
wameomba register ili wajue cha kumwambie spika cha kwenda kukitekeleza dhidi ya wasiosaini mahudhurio. zitto jiandae kupambana na bi kiroboto.
 
Leo majira ya mchana tukiwa News room kuna taarifa ambayo imeandikwa na imesambazwa kwa wahariri ikiwa na lengo la kuwachafua wabunge wa CHADEMA kesho kuhusiana na posho.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya Ikulu kulitaka Bunge liwapelekee mahudhurio ya wabunge wote waliosaini kwenye orodha ya mahudhurio na imetumika hiyo kwa kuangalia ni wabunge gani wa CHADEMA waliweza kushiriki kwenye vikao na hivyo kusema kuwa ni orodha ya kupokea posho.

posho.png

Habari hiyo itakuwa ndiyo front page kwenye magazeti mbalimbali kesho na lengo ni kuhakikisha kuwa walau wanapumua ili suala la posho wananchi waone kuwa limekigawa CHADEMA kati ya wabunge wake.

Naomba kuishia hapo kwa sasa kwani ndio tunakimbizana na deadline, ntarejea baadae kuwajuza na nikiweza nitaiscan taarifa hiyo na kuiweka hapa jamvini.
Mbona hili ni daftari la mahudhurio sio la malipo. Ama kweli serikali ya kikwete imekwisha. Kama hii ndio staili ya kulipana basi serikali inadaiwa na kila mtu. Waliohudhuria mikutani ya kijiji na wafanyakazi wote wanaofanya vikao maofisini bila malipo wanastahili kulipwa posho.
 
Wata tapa tapa sana! Maji yako shingoni! Asante kwa kuwahi kuwafunua, wanadhani Tanzania ya leo ina mambumbumbu kama wanavyo endelea kufikiri?! Nyumba iangukayo hata mende huikimbia.

Magamba hayana pa kutokea, pinda kahalilisha takrima, na makinda hafai kuongoza bunge. Ikulu inaingilia bunge? Nime iprint naisambaza mtaani, na kubandika kwenye nguzo za umeme kabla hata magazeti hayaja toka. NYAMBAFU.
 
So far magazeti ya leo headline kubwa ni suala la Spika kushitakiwa kw kamati ya kanuni za bunge...
 
Back
Top Bottom