Aiseee Ngosha kakasirika kinoma nadhani kuna wengine watafuataDude amshasema aji asses na amemtaka aachie madaraka
Mpumbavu kweli huyu jamaaHuna akili kabisa,
MTOTO KIPENZI.....Ipo Siku Makonda ataambiwa maneno aliyoambiwa Muhongo
Kaaaaaa hujatambua tu kama makonda ni jembeIpo Siku Makonda ataambiwa maneno aliyoambiwa Muhongo
kumbe mahitaji ya watanzania ni yepi???reli bombadier zinamsaidia vp wakaz wengi ambao hawana hata mradi wa maji?
mmeambiwa mahitaji ya watz n kipande cha reli?