Mengi nomaKweli nimeamini anayegombana na Mzee Mengi habaki salama
Muhongo kaingia 2012. Sakata hili lina 17 years.Tulimwambia aachane na Muhongo, hataki.....
Muhongo huyuhuyu
Ndiyo tutachimba, chini ya huyu Rais tunaweza, ni msimamizi mzuri.Halafu utachimba?
Ninamshangaa proffesor Muhongo kang'ang'ania mpaka kafukuzwa live. Hii itakuwa ni laana kwani kwa kiwango cha elimu yake machale yalitakiwa kumcheza. Kujiuzulu nafasi moja mara mbili ni zaidi ya laana. Dharau peleka kule.Nampenda sana Prof Mhongo na ni rafiki yangu, kwa hili ajitathmini na nilitaka aachie madaraka
dah!..Ndugu yangu nadhani utahitajika upate elimu kidogo. Hicho chuma na sulphur vinavyotajwa siyo halisia yaani siyo pure bali vipo kama compounds ndani ya huo mchanga. Hata mchanga na mawe tunayojengea yana chuma, sulphur, silica, Manganese, Magnesium, n.k. Hivi unapobeba mawe ya kujengea au mchanga, huwa unatoa kwanza chuma na sulphur na magnesium kwanza? Huo mchanga wenyewe ni minerals, ukizitoa zote hakuna mchanga au mawe. Ni sawa mtu akuulize kwa nini unaponunua mahindi yetu unabeba na wanga, protini na mafuta?
Hii ripoti ni ya kuwafariji watu wasio na elimu kabisa ya madini au kemia. Kwa ujumla hawajagundua chochote cha maana.
Labda Nappe sasa atapunguza kulialia.Ahahahah Muoongooo yule kwenye benchi na Nape
Miaka mitano siyo michacheMuhongo kaingia 2012. Sakata hili lina 17 years.
Kaka kunawatu ni wakimbizi hapa nchini sasa usibande hasira sana,Ninahasira nawewe acha utoto
Ndugu yangu nadhani utahitajika upate elimu kidogo. Hicho chuma na sulphur vinavyotajwa siyo halisia yaani siyo pure bali vipo kama compounds ndani ya huo mchanga. Hata mchanga na mawe tunayojengea yana chuma, sulphur, silica, Manganese, Magnesium, n.k. Hivi unapobeba mawe ya kujengea au mchanga, huwa unatoa kwanza chuma na sulphur na magnesium kwanza? Huo mchanga wenyewe ni minerals, ukizitoa zote hakuna mchanga au mawe. Ni sawa mtu akuulize kwa nini unaponunua mahindi yetu unabeba na wanga, protini na mafuta?
Hii ripoti ni ya kuwafariji watu wasio na elimu kabisa ya madini au kemia. Kwa ujumla hawajagundua chochote cha maana.