IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

....Unamkuta Mtu kavaa manguo ya Khaki anambeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano Kwa Juhudi Zake hizi

-Mapambano ya wezi/wanyang'anyi wa madini
-Reli ya Kisasa
-Flyovers
-Barabara
-Bombardier na Dreamliners zitapishana Anga za Ulaya, Amerika Australia na Asia

Lazima tujibane hivi vitu havitakua ahadi tena Miaka Ijayo na Miundombinu hii huweza Kudumu kwa Vizazi Vingi sana. Kisayansi Rais Magufuli hatakuepo Miaka 100 ijayo lakini Reli itafika.

A I predict a 5-years Magufuli Era will be Success.
Sawa Janet Magufuli tumekuskia
 
Back
Top Bottom