IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

Ni vizuri sana Viongozi muwe mnasoma alama za nyakati lakini pia muwe mnajitahidi sana kupitia maoni ya Watu humu JF kwani wapo wengine ambao tukisema au wakisema maneno yao humu huwa ni kama vile wana maono.

Nakumbuka kuna siku niliona baadhi ya Members humu wakimtahadharisha Waziri Profesa Muhongo na kumwambia mapema tu kuwa hiyo Wizara aliyepo itamshinda na kama ilikuwa ni suala tu la muda lakini angeondoolewa.

Hatimaye leo yametimia na pole sana Professor Sospeter Muhongo na maisha mema baada ya utangazaji wako wa kujiuzuru ambao nimedokezwa kuwa utaufanya muda mfupi tu ujao.
 
Kwa leo nimemuunga mkono rais Magufuli, kwa haya tuko pamoja na naunga mkono mapendekezo yake yote.
Aliyekuwa rais Mkapa anatakiwa kunyongwa. Pia mawaziri wa nishati Kikwete, Ngeleja, Karamagi na Muhongo wapelekwe kwenye vyombo vya sheria mara moja.

Mkapa siyo mtu ni shetani la kutupwa!
 
Maskini Prof. Muhongo! We loved you and your flamboyance in the MEM but the obtaining conditions discarded you! Adios Muhongo!
 
Back
Top Bottom