IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

Mungu akubariki rais Magufuli kwakweli unauchungu na taifa hili.
 
a1244e169df16e53be221e90f29cf7ec.jpg
Wanted!!
 
Ni ripoti nzuri. Lakini Multinational Corporations (MNC) zina nguvu nyingi na mitandao ya kitaasisi dunia nzima. Hiyo ripoti itabishiwa Sana. Watadai maabara zilizotumika hazina uwezo wa kufanya uchanganuzi huo na hata wataalamu hawakuwa makini. Watatumia ripoti za taasisi za kimataifa kuipinga ripoti. Na mwisho watatumia vipengere vya mikataba ya hovyo tuliyoingia kutushitaki katika mahakama za kimataifa.
Ni kweli unayosema lakini mbona Botswana wameweza tulitegemea mtu kama Prof Muhongo abadili yale mazoea ya wazungu kutunyonya lakini kama ilivyo kwa watanzania ukishapewa nafasi basi unamezwa na mfumo wa brown paper bag uweledi wako wote unaondoka.

Mfano mdogo hata ukimchukua malaika ukampa kazi bandarini au TRA basi atageuka mla bahasha za kaki na kusahau weledi wake
 
Back
Top Bottom