Well hapo sasa ndio tunajua nchi hii watu wapo makini kiasi gani kuokoa ngozi zao wenyewe lakini matokeo yake ni kama wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe.
Sasa hiyo taarifa ya Ikulu mbona inalenga zaidi kumuaibisha Rais na Utawala wake mbovu. Kweli watu wanatoa taarifa kama hiyo na kusema kwamba ni taarifa toka ofisi muhimu kuliko zote nchini? Ina maana hakuna mawasiliano kati ya Waziri Mkuu na Rais na Spika wa bunge? Ikiwa ni hivyo tunaelekea wapi kama nchi?
Dah inauma sana hii. Kuzaliwa Mtanzania sio laana ni baraka sasa kwa nini tuwaache wachache wachezee baraka tulizopewa na mwenyezi Mungu katika hii nchi yake?
badala ya kutolea kauli la madaktari kugoma hili wamejibu haraka...hii ndio TZ ya JK
Hawawezi kujiuzulu hao..Hapo pekundu means PINDA NA MAKINDA hawana Busara wala Hekima, yaani ni washenzi mana wamefanya maamuzi kishenzishenzi. Hapo c ndipo pa kuwataka wajiuzuru kwa kulidanganya Taifa???Walafi na wabinafsi, Manyang'au hao
wewe mbona kutuambii posho unayopokea kwa kumshambulia JK acha longolongo hapa Jf
Woote hawa (bunge na ikulu)lazima waoneane haya kwasababu woote tatizo lao moja......ubinafsi...hamna wa kumuhukumu mwenzake.....kwa kifupi...manyang'au na mafisi at work.........Rais legelege anayeongoza serikali legelege. Siasa za nini? Kuoneana haya kwa nini?
Hakuna alichojibu hapa. Empty statement
kama vipi nchi iuzwe kila mtu apewe buku kumi zake
Hivi kwa nini asiseme tu kuwa hakubaliani nalo hilo jambo?
Halafu yeye malipo yake ni shi'ngapi?
Screw them! Hivi kuna vyama vingapi vinatawala Tanzania? Hivi waziri mkuu na rais wana matatizo ya mawasiliano?
Mheshimiwa Rais Kikwete anakubali haja ya kuangalia upya posho kwa Wabunge lakini amewataka wabunge kutumia hekima na busara katika kulitafakari suala hili.
Tuanzie hapo kwenye blue: Rais anakubali posho kwa wabunge ziongezwe au la? simple yes or no.
Wabunge wameshangalia upya posho zao na wakaja na figure 200,000 extra! Na ili waweze kulipwa ni lazima (kwa taratibu za sasa) rais atie sign.
Uongozi hana mamlaka juu ya e lazima ufanye maamuzi na uwe tayari kutetea maamuzi yako hata kama wengi watakasirika. Sasa ame-sign au haja-sign? Kama haja-sign kwa nini? Na kama ame-sign kwa nini? Hizi open-ended statement hazitoi mwongozo hata kidogo sana sana zinaonena dalili ya kukwepa kufanya maamuzi.
Pinda, kachanganyikiwa na migomo ya madaktari.
Huu ni Ushindi kwa Zitto Kabwe kwa kuwa aliwaambia ukweli kuhusu posho kutosainiwa wakabishi na kumzomea sasa hivi wanazomewa wao. wabunge wote waliozomea Hovyoooooooooooo!!
madaktari wauaji kuwatolea kauli ipi, kumbuka daktari wa machael Jakson kafungwa na kufutiwa leseni kwa kutoa dawa iliyomuua Machael jaribu kugoma kwa wenzetu na kuua.
Serikali ifute kabisa huu mfumo wa posho. Wajumlishe kila kitu kwenye mshahara. Hivyo mbunge au mwingine yoyote akichukuwa mshahara wake ajue kabisa fungu la mboga, bia, warsha etc liko humo. Vinginevyo kila siku tutakuwa tunaongelea posho.
Hii nchi inamatatizo gani?Au ni laana?Na kama ni laana,ni ya nani?
Screw them! Hivi kuna vyama vingapi vinatawala Tanzania? Hivi waziri mkuu na rais wana matatizo ya mawasiliano?