Iko under carpet ya Wema tena

hahaha, haya bhana yetu macho kwa hizi epsiodes za bureee...!!!! Unaweza tengeneza kipindi cha reality show cha hawa watu , watazamaji wakajaa kedekede... ukauza matangazo kedekede....!!!

sidhani kama kwenye vichwa vyao kuna ugonjwa unaitwa HIV, AU kuna kitu kinaitwa GOD FEARING!
 
kikovu na almas kwani bado?? juzi nilikuwa na hus maeneo ya bamaga na almas na aunt ezekiel walikuwa wanatoka ile hotel ya 'kebbys' pale bamaga, full makiss na kushikana kana kwamba wana uhusiano wa muda mrefu. nilichoka sana. so i doubt kama kikovu na diamond bado watakuwepo wakati vs itakapoanza.
labda walikua kwenye kuact
filam sio maisha ya ukweli hayo
 
Hawa watoto wana wazazi kweli?wamekulia wapi hawana hata aibu kwa wazazi na ndugu zao??yaani full ngono ngono tu duu inatia hasira wanavyongonoka!!!!!
 
Yaani huyu demu ni Kim Kardashan wa Bongo, ni public toilet, daladala, kuliko hata actresses wengine wa Bongo, we ingia, toka, wenzio watumie, khaa!
 
Yaani huyu demu ni Kim Kardashan wa Bongo, ni public toilet, daladala, kuliko hata actresses wengine wa Bongo, we ingia, toka, wenzio watumie, khaa!

Asikwambie mtu... Wema these days mtako si mchezo....anatingisha ****....hata mm siwezi kukataa kula ile kitu kabeba, anatoa xtreme huyo.... namfukuzia leo
 
Teh, teh, teh, vijana mna khabari nyie!, kwahiyo ina maana siku hizi kama hutoi ofa ya extreme huna chako, mmh, mbona Wanaume wa siku hizi mnakuwa mna kasheshe hivyo, khaa!
Asikwambie mtu... Wema these days mtako si mchezo....anatingisha ****....hata mm siwezi kukataa kula ile kitu kabeba, anatoa xtreme huyo.... namfukuzia leo
 
Mbona Wema kashabadlisha gari sasa hivi anatoka na mume wa mtu, anaitwa Mwinyi ni muimbaji wa Machozi band.
 
usinambie Wema ndio hadi anamuweka mjini Phd,kaamua kulea kabisa mtoto wa kike uyu..

Ila asikwambie mtu,Wema ana nyota ya ajabu sana yule bidada...ukikaa karibu nae lazima ung'ae sasa subiri kuona hii couple inavyong'aa....

siwezi kusubiri mpambano wa Diamond/kidoti vs Phd/Wema.

nyota ya ajabu ya kukaa na bwana wiki mbili kisha mnaachana unachukua mwingine?...au we kubadilisha badilisha mabwana unachukulia kama fashion, Malay.a bwana utawajua tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom