Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser".
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz ameandika,
"BIZZY BABYLON!!! ICON !👑 Rolemode wa Vijana wengi ambao leo hii eti nasi tunaonekana watu!…nakumbuka wakati niko Underground nahaso kutoboa, licha ya Ukubwa Ulionao Haukunidharau Ulinifanyia Wimbo wangu wa kwanza kwa J SILK, tena ulikuja Kunichukua na Gari yako Nyumbani Kariakoo, Ukanifundisha namna ya Viitikio vya wimbo napaswa kuwa Naviandika Vipi…Baadae Wakati nataka Kushoot Video yangu ya Wimbo wa KAMWAMBIE Ulinisaidia hadi Kutafta Mamodel wa kushoot nao, tena hadi tukiwadanganya kuwa watashoot na wewe ilimradi tu wakubali kishiriki… Wakati natoa Wimbo wangu wa KAMWAMBIE bila kujali Ubize na Ustar Ulionao Ulinishika Mkono na kunipelekea kwa Wadau wa TV na Radio mbalimbali na kuwakabidhi Video ya Wimbo wangu tena kwa mikono yako na Kuniombea Wanipigie ili nami nitoke!! Haujaua tu ni kias gani Nakuheshim my Brother …Haujanua ni kias gani leo nimefarijika kupata nawe wimbo Mkubwa…. It was my all time Dream, and GOD MADE IT TO BECOME TRUE!!!! Mr Blue Nakushkuru sana Kaka" MWISHO
Mr Blue na Diamond wameachia wimbo wao leo hii unaoitwa "Mapozi"
Written by Mjanja M1