Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

Kudadeki wameniharibia kabisa mood ya kufanya kazi. Hiki chama cha Magamba kimepoteza uhalali wa kuongoza hii nchi.

Tusubiri kwanza CDM watasema nini kuhusu mauaji haya, kimsingi damu ya Mtanzania mwenzetu isipotee bure...
mikono ya mwigulu imejaa damu ya mtanzania mwenzake hii ccm tuikatae kwa nguvu zote!
 
Mnyika please tunaomba kujua sababu za kifo cha comrade Masoud......uchunguzi wa sababu za kifo chake unasemaje?

Polisi hawawezi kuficha postmotam results, hamuwezi kuzika bila kujua sababu za kifo chake.
 
Waliomwaga damu ya mtanzania na walio nyuma ya kitendo hicho cha kifedhuli walaaniwe.

Kumwaga damu ya mwanadamu ni kitendo cha kifedhuli na kisichotakiwa kufumbiwa mamcho.

Vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hili jambo lizungumzwe watanzania wajulishwe ukweli huu.
 
Jambo moja naliamini moyoni mwangu, yote haya yana mwisho. Mwisho wake nisipouona mimi kama Masoud, watoto wangu watauona mwisho huo mwema na watajua kuwa baba yao Aweda alifia akipinga maovu haya ya ccm, kama si wao wajukuu zangu watauona mwisho huo mwema wa nchi yetu bila ccm dhalimu. mapambano lazima yaendelee, hakuna kukata tamaa.
 
hizi taarifa mbona zinakuja leo? Mtu alitekwa tar mosi. Maiti imegundulika tar 9. Tuambiwe ukweli wa ziada hapa
 
Waliomwaga damu ya mtanzania na walio nyuma ya kitendo hicho cha kifedhuli walaaniwe.

Kumwaga damu ya mwanadamu ni kitendo cha kifedhuli na kisichotakiwa kufumbiwa mamcho.

Vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hili jambo lizungumzwe watanzania wajulishwe ukweli huu.
Kusema kweli bila kujali itikadi yangu ksiasa,, hili ni jambo baya baya sana,, inatia huruma kwakweli. Ndiyo maana nasema watu wanasahau kwamba CDM na CCM na vyama vingine vyoote,, sote ni watanzania,, itikadi isifanye tuuane ama kujeruhiana. Busara za viongozi wa vyama hasa CCM na CDM ndiyo pekee itakayoinusuu nchi hii kuingia kwenye machafuko. Nalaani kitendo hiki kwa nguvu zote
 
Watanzania, Amani na Utulivu ni upi unaohubiriwa na CCM? Kuna nyakati zitafika mauaji yale ya kimbari yatatokea TZ. WATZ tumechokaaa? Kisa ushindi ni lazima. Tanzania ni Watanzania sio ya CCM, kwanini CCM??????????????????????????
 
Kinachonishangaza, mtoa mada hajaitaja gari hiyo. Kwanini asiitaje tukaijua? ameishia kuweka xxx

Huu ni unyama uliopitiliza na kama kweli mleta mada ana uchungu wa kweli juu ya mauaji haya, azitaje hizo namba za gari lililotumika kumteka marehemu. Kwa nini namba zifichwe?

Tiba
 
Katika ccm angalau Magufuli nilikuwa na imani naye kwa tukio hili sina tena na imani na mtu yeyote maadamu ni ccm watanzania wenzangu inauma, jana nikiwa natoka Mwanza niliona turubai na watu pale ofisi ya chadema Igunga sikujua ni nini kumbe ndo ilikuwa mazishi ya kamanda.

Kamanda huko uliko tuko pamoja kwa mateso uliyoyapata hadi kifo.
Inauma sana hii, kijana Masoud kosa lake nini mpaka atendewe unyama huu!! Hakika damu ya mtafuta haki itazaa matunda ya mageuzi.

Nape alisema hili na limetokea kweli, Green Guards washatangaza vita na vijana wataka mabadiliko. Poa
 
mnaonaje mkiwa mnamzomea huyo mbunge kila akikanyaga Igunga?
God be our pilot and take the count off autopilot mode!
 
Kiwango cha uchungu nilichobeba kwa hili mpaka unaniogopesha mwenyewe! Madaraka! Madaraka jamani! We want explosive reaction ever!
 
hizi taarifa mbona zinakuja leo? Mtu alitekwa tar mosi. Maiti imegundulika tar 9. Tuambiwe ukweli wa ziada hapa

Radio Wapo walitanganza nafikiri Jpili kuwa viongozi wa Chadema Igunga wanafuatilia suala la kukamatwa kwa wanachama wao na mmoja kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
 
hizi taarifa mbona zinakuja leo? Mtu alitekwa tar mosi. Maiti imegundulika tar 9. Tuambiwe ukweli wa ziada hapa
Maiti ilpookotwa tar 9/10 ilikuwa si rahisi kuthibitisha kuwa ilikuwa ni ya Mbwana Masoud, hadi ndugu zake walipofika na kuthibitisha juzi, Jana tulikuwa tunahangaikia Mazishi na taratibu nyingine za msiba, na pia tulisubiri tamko rasmi la chama, Leo tumeanza, umeelewa? Na kuhusu namba za gari sio kwamba zinafichwa, la hasha, bali ieleweke kuwa ni rahisi zaidi kukumbuka Herufi kuliko Namba, ndio maana herufi tumeziandika lakini namba hatuzikumbuki vizuri.
 
Basi inatosha mngekuwa mnawajua hao watu sawa au hata gari mmesema linatumika sana kwenye kampeni za magamba inamaana mnalifaham tutajieni lichomwe moto jamani na wausika tuwashugulikie sisi wenyewe tuachane na polisi
 
let us pray itokee mapema ili kulipa damu ya Kijana mwenzetu kabla haijapoa ardhini, sina la kusema zaidi ya kutokwa na machozi
Kwa style hii,something bad is going 2 happen 2015.
 
Back
Top Bottom